Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

Wewe maskini unayeanza kutajirika..uko kwenye Bata angalia usirudi na magonjwa uanze kuwa mteja WA wamarekani Hadi unakufa...afu hatuoni sabb ya ww kwenda kula Bata Bora uendeleze life Iloilo Hadi uwe na uchumi imara...!!!
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujingwa wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
Hivi kuwekeza pesa utt ni kuanzia shingapi
 
Kama siyo mtu wa starehe ukaweka wanawake pembeni , ukawa siyo mlevi, ukawa na hasira na maisha unaweza kabisa kusave pesa nyingi, binafsi pia najinyima kwa miaka kama minne hivi ila nilianza taratibu siku za nyuma, nimeona matokeo mazuri na matumain mapya.

Consistency ndo kitu cha muhimu usiache kusave ukiacha na ukajiingiza kwenye starehe kula bata inakua huna ulichofanya ni kama umechota maji kisimani ukaenda kumwaga baharini.
Endelea kusave kula bata ni siku moja moja.
 
Hongera Sana Mkuu, na hio ndo raha ya kuwa na Nidhamu ya kimatumizi
 
Nimeinvest UTT AMIS mkuu

Naomba kuelimishwa kuhusu UTT-AMIS na Fixed Accounts

Niliomba ushauri kuhusu hii kitu juzi tuuu, hakuna hata mtu alinijibuu,
Naomba Mawazo yako hapa mkuu.
 
Utaratibu wa kujiunga UTT naomba unijuze,namna ya kujisajili,namna ya kutoa fedha pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…