Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa ovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna.

2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao.

3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake.

4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu.

5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake

Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
 
1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa hovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao
3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake
4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu
5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake

Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
Labda uwe handsome na akili huna kama ,mbona Mimi handsome na sijawahi kuwa kwenye hizo issues

USSR
 
Ukiwa hadsome boy/mademu na wake za watu wanajigonga wenyewe uwapelekee moto hawahitaji hela. Hata kama hutaki watakuparata tu, ukiwagomea wanakuchukia na kukukashifu kuwa huna moto. Ukijitunza utaepukana na kashfa nyingi
 
Kujikuta umewapelekea moto wanawake wa ajabu wakikuachia mikosi hii ipo. Kuna wanawake wana mikosi balaa ukiwapelekea moto una share mabalaa yao ikiwemo magonjwa ya zinaa waliyo nayo
 
Hivi ikitokea umemtongoza dem mara moja tu afu akakukubalia haraka haraka au kuanza kukugia simu kila saa ukampasue utaenda au utaingiza upepo??kiukweli mi huwa naogopa sana yaani demu anipe bila usumbufu napata walakini
Mwanzo nilikua kama wewe ila dem akikuelewa hutongozi.

Unamla kiulaini tu, mkishazoeana sasa ndo unaanza ona vijana wakihenyeka kumpata huyo ulimtilia mashaka mwanzo.
 
Mwanzo nilikua kama wewe ila dem akikuelewa hutongozi.

Unamla kiulaini tu, mkishazoeana sasa ndo unaanza ona vijana wakihenyeka kumpata huyo ulimtilia mashaka mwanzo.
Imagine mfano demu umemuona rodi kapendeza yuko matawi..ukarusha ndoano labda twende mahali kakubali kilaini tuu yaani hapingi kitu..kweli naogopa mwanamke hivyo sana!!

Wanawake wengine ni wale kwanza hakutafuti wala hakupigiii simu..ukimpigia muda wwt umwite mahali popote anakuja..hata saa nane za usiku habishi..
Anaweza akakuta uko hata na demu mwingine hata hawazi wala habongi kitu.
Unaweza kumpotezea hata mwezi humpi hata mia humuulizi wala humpigii simu but ukivuta waya moja tuu huyu hapa..
 
Mmmm kwa hiyo sisi wenye sura zetu Hatari zetu Nini
 
Back
Top Bottom