Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa hovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao
3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake
4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu
5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake

Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
mwanaume unajijua we ni HB? Km bado siyo shoga hizo ndio dalili zenyewe.
 
1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa hovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao
3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake
4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu
5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake

Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
Ww ni handsome???
 
Imagine mfano demu umemuona rodi kapendeza yuko matawi..ukarusha ndoano labda twende mahali kakubali kilaini tuu yaani hapingi kitu..kweli naogopa mwanamke hivyo sana!!

Wanawake wengine ni wale kwanza hakutafuti wala hakupigiii simu..ukimpigia muda wwt umwite mahali popote anakuja..hata saa nane za usiku habishi..
Anaweza akakuta uko hata na demu mwingine hata hawazi wala habongi kitu.
Unaweza kumpotezea hata mwezi humpi hata mia humuulizi wala humpigii simu but ukivuta waya moja tuu huyu hapa..
Wauzaji hawana tabia ya kupinga pinga pesa yako ndo inaongea
 
Aisee kuna moment had ma bar med walikua wananipa offer za bia na papuchi bure,,,,,,
 
Back
Top Bottom