Mbona kaandikaUmesahau kuwa hatarini kupasuliwa spika
Labda uwe handsome na akili huna kama ,mbona Mimi handsome na sijawahi kuwa kwenye hizo issues1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa hovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao
3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake
4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu
5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake
Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
spika ni nin fafanuaUmesahau kuwa hatarini kupasuliwa spika
Mwanzo nilikua kama wewe ila dem akikuelewa hutongozi.Hivi ikitokea umemtongoza dem mara moja tu afu akakukubalia haraka haraka au kuanza kukugia simu kila saa ukampasue utaenda au utaingiza upepo??kiukweli mi huwa naogopa sana yaani demu anipe bila usumbufu napata walakini
Imagine mfano demu umemuona rodi kapendeza yuko matawi..ukarusha ndoano labda twende mahali kakubali kilaini tuu yaani hapingi kitu..kweli naogopa mwanamke hivyo sana!!Mwanzo nilikua kama wewe ila dem akikuelewa hutongozi.
Unamla kiulaini tu, mkishazoeana sasa ndo unaanza ona vijana wakihenyeka kumpata huyo ulimtilia mashaka mwanzo.
Tako kuru
CjaonaMbona kaandika
Tako kuru