saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
mwanaume unajijua we ni HB? Km bado siyo shoga hizo ndio dalili zenyewe.1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa hovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao
3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake
4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu
5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake
Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
Huo ujinga unejaa sana Facebook[emoji23]Yaani noma kwanza skuuizi ukiwa handsome unatongozwa ad na wanaume wenzio
Ww ni handsome???1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa hovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao
3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake
4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na wake za watu au mademu wa watu
5. Kuishi kimetego mitego kama digidigi kutokana na majanga uliyonayo juu ya wanawake
Mimi naenda zangu
Pimbii wa Ludewa sasa naelekea Dar.
mnapiga sana puli....Mmmm kwa hiyo sisi wenye sura zetu Hatari zetu Nini
Wauzaji hawana tabia ya kupinga pinga pesa yako ndo inaongeaImagine mfano demu umemuona rodi kapendeza yuko matawi..ukarusha ndoano labda twende mahali kakubali kilaini tuu yaani hapingi kitu..kweli naogopa mwanamke hivyo sana!!
Wanawake wengine ni wale kwanza hakutafuti wala hakupigiii simu..ukimpigia muda wwt umwite mahali popote anakuja..hata saa nane za usiku habishi..
Anaweza akakuta uko hata na demu mwingine hata hawazi wala habongi kitu.
Unaweza kumpotezea hata mwezi humpi hata mia humuulizi wala humpigii simu but ukivuta waya moja tuu huyu hapa..