Unawezaje kuchunga afya Yako? Toa hint mkuuAcha kulia mkuu, tafuta namna ukishakuwa mwanaume hakuna wa kukuokoa, inabidi ujiokoe wewe mwenyewe. Hata hivyo ni muhimu zaidi kuchunga afya Yako maana ni asset pekee unayomiliki
Ukitoka familia masikin unakuwa na uwezekano wa kutoboa kuliko familia tajiri. Fuatilia watu wote wenye hela za ukweli dunian. Asilimia 75 ni kizazi cha kwanza na sio urithi. Ni kujua how things work tuInawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
Amina ila kupambana ni muhimu sana na kufanya na kujaribu kila fursa inayotokea mbele zako!Kuzaliwa katika famila masikini automatic umeanzia kwenye negative side by the time ume break even muda utakuwa umeenda sana. Ukiwa huna, automatic kila mtu anakukwepa kwa sababu huna thamani, ndio maana kutoba inakuwa ngumu sana . Maisha hayana huruma na mtoto wa masikini, tambua kuwa unayo vita kubwa ambayo inakutaka kupambana sana. Lakini usikate tamaa Mungu atakuinua siku moja.
Nilikuaga siamini hili hadi ilipokuja kunitokea live siwezi kusahau nilikosa nafasi nzuri sana yenye maslahi mazuri Europe kwasababu tu ya kukosa pesa, back up na some recommendations (connection),...kila unaemgusa hola...nikasema isiwe tabu, Ammy Ninje anasema always next time...Mungu ni mkubwa tuendelee kupambana one day yes, hakuna kukata tamaa maana tutakua tunaendeleza chain ya umaskini kwenye familia!!!Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
Mkuu Nina mpango wa kwenda Canada baada ya kuhitimu elimu yangu ya juu, vipi Kuna fursa sana huko? Based on your experienceNilikuaga siamini hili hadi ilipokuja kunitokea live siwezi kusahau nilikosa nafasi nzuri sana yenye maslahi mazuri Europe kwasababu tu ya kukosa pesa, back up na some recommendations (connection),...kila unaemgusa hola...nikasema isiwe tabu, Ammy Ninje anasema always next time...Mungu ni mkubwa tuendelee kupambana one day yes, hakuna kukata tamaa maana tutakua tunaendeleza chain ya umaskini kwenye familia!!!
Mkuu mi nipo bongo bado, nilipata nafasi hiyo mwaka juzi nikakwama kuondoka, nimepata tena mwaka huu ndo najipanga kuona itakuaje. Ndo maana nikasema tusikate tamaa tuendelee kupambana maana ukikata tamaa ndo unaendeleza chain ya umaskini.Mkuu Nina mpango wa kwenda Canada baada ya kuhitimu elimu yangu ya juu, vipi Kuna fursa sana huko? Based on your experience
Nimekuelewa sana mkuu Mimi pia Nina mpango wa kwenda nje naona nje fursa ni nyingi zaidi ni rahisi kupata capital kubwa kuja kufanya mambo makubwa hukuMkuu mi nipo bongo bado, nilipata nafasi hiyo mwaka juzi nikakwama kuondoka, nimepata tena mwaka huu ndo najipanga kuona itakuaje. Ndo maana nikasema tusikate tamaa tuendelee kupambana maana ukikata tamaa ndo unaendeleza chain ya umaskini.
Katoboa au katobolowaMbona BICHWA KOMWE ni mtoto wa maskini na ametoboa!
Kinyeo ni mtaji wa maskini, unaweza kuwa hata MILIONEO ukiwa na mikakati madhubuti.
Cc: BICHWA KOMWE Mbaga Jr Poor Brain Lloyd Munroe secretarybird