OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Ukiishinda vita ya kiroho unatoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilisemwa,Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
Mungu akikuteua kuwa mkombozi wa hyo familia maskini hutumii nguvu kubwa kwani atakuonesha pakupita nakila unapopita kishatangulia mbele kuondoa vikwazo..vinginevyo juhudi zako bifsi zitakusaidia.Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
Nadhani unakitumia vizuri, unakipa vijebu vya kutosha.. hayo ndo matumizi ya kinyeo yenye tijaaMbona BICHWA KOMWE ni mtoto wa maskini na ametoboa!
Kinyeo ni mtaji wa maskini, unaweza kuwa hata MILIONEO ukiwa na mikakati madhubuti.
Cc: BICHWA KOMWE Mbaga Jr Poor Brain Lloyd Munroe secretarybird
Wacha wee!Mbona BICHWA KOMWE ni mtoto wa maskini na ametoboa!
Kinyeo ni mtaji wa maskini, unaweza kuwa hata MILIONEO ukiwa na mikakati madhubuti.
Cc: BICHWA KOMWE Mbaga Jr Poor Brain Lloyd Munroe secretarybird
Tupe code uzuri tukitoboa hakuna hasara unayopataZamani nili amini kama wewe ila nilipogundua zipo code za kitaa za kutoboa kwa yoyote aliyezipata nilikuja kufuta kauli.
Dah mkuu kaul nzito sana hii. Sjui kama mafukara wamekuelewaKutoboa ukiwa umetokea familia masikini ni kazi sana inabidi ufanye kazi kwa bidii na uwe na roho mbaya tena ya kikatili sana.
Ukitoka familia masikin unakuwa na uwezekano wa kutoboa kuliko familia tajiri. Fuatilia watu wote wenye hela za ukweli dunian. Asilimia 75 ni kizazi cha kwanza na sio urithi. Ni kujua how things work tu
Seriously kaka much effort required ✊🏾Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi