Nimeamini ni ngumu sana kutoboa kwenye maisha kama unatoka kwenye familia masikini

Ilisemwa,
Vitu vitatu muhimu ili kutoboa, Juhudi, Muda, Kudra,hapo ongezea na connections
 
Mungu akikuteua kuwa mkombozi wa hyo familia maskini hutumii nguvu kubwa kwani atakuonesha pakupita nakila unapopita kishatangulia mbele kuondoa vikwazo..vinginevyo juhudi zako bifsi zitakusaidia.
 
Zamani nili amini kama wewe ila nilipogundua zipo code za kitaa za kutoboa kwa yoyote aliyezipata nilikuja kufuta kauli.
 
Kutoboa ukiwa umetokea familia masikini ni kazi sana inabidi ufanye kazi kwa bidii na uwe na roho mbaya tena ya kikatili sana.
 
Kuna wengine walipewa hizo back up na walifeli usikatishe watu Tamaa
 
Ukitoka familia masikin unakuwa na uwezekano wa kutoboa kuliko familia tajiri. Fuatilia watu wote wenye hela za ukweli dunian. Asilimia 75 ni kizazi cha kwanza na sio urithi. Ni kujua how things work tu
 
Seriously kaka much effort required ✊🏾
 
Hakikaa mkuu nakubali,yaani Binafsi ninapambanaa Sanaa kunyanyukaa nakweli Mungu anasaidia,Vita ninayokutanaa nayo kwa nduguu usipimee. Mfanoo wananikopaa then wanakazaa hawarudishi,Kila ninaemchomeka kwenye biashara yangu ananipiga bonge tukioo.

Nimeamua kua mbabee Sanaa kwa kuacha shoboo naoo nipambane kivyangu,wameanza nunaa najidaiii yaan wanatamani nipigwe bonge tukioo niishiwe niwalilie🤣🤣🤣,wakati waoo wanaoa kesho wanaacha keshoo wanaoa kitu ambachoo nimeshauri mpaka tukagombana.

Hivyo kutoboaa Toka familia maskini ni ngumu mnoo,maana lazimaa upitie stages tatu, 1.ukiwa chini dharau 2.ukiwaunanyayuka unapigwa majunguu haswaa 3.ukitajirika,Heshima kinafiki Toka kwa wote inaonekanaa.Ukikosaa umakini wanakurudisha chinii au unalamba mchanga. Familia zetu ngumu sana.
 
Muwakilishi wa hao vijana masikini nipo haha kama muna maswali mawili matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…