Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Kumiliki tu 10ml kwa watu wengi ni kimbembe sembuse hiyo milioni mia
 
Kuna dark side na spiritual world ya pesa kufikisha 10m Kuna mbinde zake na kufikisha 100 m Kuna mtiti....ndio maana kupata 1m Kama unaanza unatakiwa kuweka record kabisa siku ya kwanZa biashara hii kufikisha FAIDA ya 1m na uselebrate
 
Back
Top Bottom