Nimeamini sio kila Mzee ana busara

Nimeamini sio kila Mzee ana busara

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
649
Reaction score
975
Mtu ni Mzee 50+ hana kazi yoyote ila saa mbili asubuhi yupo kijiweni anapiga umbeya kuhusu maisha ya watu.

Basi hata bustani ya kumfanya awe busy hana. Na labda tuseme hata alipambana kumsomesha mwanaye hollaa.. Pesa zote ziliishia kwenye pombe na starehe.

Kama huna Kazi ya kufanya tulia nyumbani.

Naombeni mueleze Wazee kama hawa waache tabia za hovyo
 
Enzi zetu kabla ya miso misondo
1741193008680.jpg
 
Maisha yetu wote yanafanana ,

Kama huyo Mzee yupo kijiweni akipiga umbea kuwasema watu.

Basi watu wengine wapo mitandaoni wakijadili umri na maisha ya watu.

Yaani kifupi tupo gereza moja tofauti ni aina ya adhabu tulizonazo
 
Maisha yetu wote yanafanana ,

Kama huyo Mzee yupo kijiweni akipiga umbea kuwasema watu.

Basi watu wengine wapo mitandaoni wakijadili umri na maisha ya watu.

Yaani kifupi tupo gereza moja tofauti ni aina ya adhabu tulizonazo Siumbea upo
Sikatai, Umbeya upo sehemu nyingi ila sio saa mbili asubuhi.
 
Back
Top Bottom