Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Mtu ni Mzee 50+ hana kazi yoyote ila saa mbili asubuhi yupo kijiweni anapiga umbeya kuhusu maisha ya watu.
Basi hata bustani ya kumfanya awe busy hana. Na labda tuseme hata alipambana kumsomesha mwanaye hollaa.. Pesa zote ziliishia kwenye pombe na starehe.
Kama huna Kazi ya kufanya tulia nyumbani.
Naombeni mueleze Wazee kama hawa waache tabia za hovyo