ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Naomba kuyaweka sawa kidogo.Mkuu for decades Uganda used to be a killing field, thousands if not millions perished between seventies and early nineties.
Na sababu zinaanzia mbali zaidi ya hapo baada ya uhuru waziri Mkuu Obbote kutunishana misuri na Mfalme Kabaka wa Buganda.Obbote akatumia jeshi kumuangamiza Mfalme Kabaka lakina nae Mfalme Kabaka a Sandhurst trained commodore aliyaangamiza vikosi vya jeshi la Obbote kabla hajasaidiwa na Iddi Amin kukata umeme uliokuwa nyezo kuu ya Electric powered Machine gun.
Lakini commodore Mfalme akaweza kuwatoroka katika mavazi ya utawa yaani sister.
Naye Obbote akaja ondolewa na Idd Amin, na Amin akatawala kwa mkono wa chuma aliangamiza watu malaki kama si mamilioni.
Si hiyo tu Wapinzani wa Amin wakisaidiwa na serikali ya Tanzania wakaja muondoa Idd Amin na baadae kumrudisha Obbote kwenye madaraka.
Obbote safari hii aliingia kulipiza kisasi akauwa waganda kwa maelfu na alipozidiwa akapora pesa zote za hazina na kukumbilia Zambia.
Katika danadana ya kuwania Uongozi ndipo akaja Museveni na NRA akaweza kuituliza na kuiunganisha nchi.
Museveni amepunguza ukabila na kujenga utaifa.
Usione vya elea,Uganda wanamhitaji Museveni labda kuliko anavyowahitaji.
Kabaka ni mfalme/chifu/malafyale wa kabila la Baganda. Kabaka wakati huo alikuwa ni Edward Mutesa, ambae baada ya uhuru wa Uganda, alikuja kuwa pia rais wa nchi hiyo. Milton Obote akiwa Waziri Mkuu ambae ndio kiongozi wa Nchi.