Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

Naomba kuyaweka sawa kidogo.

Kabaka ni mfalme/chifu/malafyale wa kabila la Baganda. Kabaka wakati huo alikuwa ni Edward Mutesa, ambae baada ya uhuru wa Uganda, alikuja kuwa pia rais wa nchi hiyo. Milton Obote akiwa Waziri Mkuu ambae ndio kiongozi wa Nchi.
 
Unaacha kwako, nyani haoni kundule.
 
Oooh hapa nimekuelewa vema.Hakika Hawezi kumwachia mvaa milegezo Bob Wine nchi alitoipata kwa dam.Daaah acha awatawale milele!!
 
Yule M7 ni Nduli Idd Amini Dada, Santuri ya Volume II! Waganda hawatamuweza kwani kumbukumbu zinaonyesha hata Idd Amin mwenyewe kama sio Tanzania pengine angefia madarakani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…