Nimeamini Tundu Lissu ni Jiwe walilokataa Waashi

Nimeamini Tundu Lissu ni Jiwe walilokataa Waashi

Kwa hakika, Tundu Lissu ana Power na ushawishi mkubwa sana. Kuchaguliwa tu, majoka yameanza kutoka mashimoni na kuanza kurandaranda mitaani.
Sipati picha Lissu atakapoanza kazi rasmi.
Hamshindi Wassira
 
Back
Top Bottom