DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
- Thread starter
- #21
Nakuwa bizo kuandiko mda mrefu ni shidowewe mtoa post huu mwaka utaniita boosi uzi wa siku moja unataka kiufanya riwaya kama za singanoooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuwa bizo kuandiko mda mrefu ni shidowewe mtoa post huu mwaka utaniita boosi uzi wa siku moja unataka kiufanya riwaya kama za singanoooooo
Biashara ina changamoto sana, hata mm Huwa nawafata watu wanishauri juu ya mambo flani flan kubaki kataa ushaur ni kitu cha msingi sanaBado stori inaendelea..., ila kimtindo nakuona kama nawewe una kaunafiki fulani ka kusaidia au kuona kuwa unafanya kazi ya kuwabadilisha jamaa zako, kwamba bila ushauri wako hawatoboi.
🤣🤣Tuwe na subira ameenda kuipua chips zake nusu ziungue
Boss unaleta fupi fupi sana3Tuendeleee.......
So baada ya lile tukio zilipita kama siku 3 nilisafiri kidogo niliporudi nikakuta lile tangazo lipo lakini wimbo wamebadilisha wameweka mwingine nafikiri ni wa diamond ule, sikuwaongelesha chochote kuhusu tangazo na kwanini wamebadilisha wimbo nikakaa kimya nikajiambia tu kwamba tayari wamegundua walipokosea.
Baada ya kama siku mbili jamaa akanifata akanambia kwamba aligundua kuwa wimbo haukuwa sawa ndomana kabadilisha, nikamwambia usiwaze tunajifunza kupitia makosa. Stors zikaishia hapo.
Baadae katika stors na utani jamaa wakaanza kuongea kwamba muda mwingi ushauri wangu huwa ni wamaana sana wakawa wanarefer matukio yalopita hasa haya mawili kuhusu kutongoza wateja hovyo na lile tangazo. (Sijisifii wadau lakini tunatofautiana katika kufikiria)
UNAFIKI WA JAMAAA YANGU.
Jamaa akaniuliza nimefikia wapi juu ya lile swala la kufungua frem huku ananicheka "aaaah pesa huna wewe unatokea wapi pesa ya frem unadhani ni kama nyanya"
Sasa nikawa simuelewi jamaa kwanini hasa ananikatisha tamaa kivile na madharau juu, of course kwa mtaji alonao jamaa ni mkubwa kwasasa kunizidi mimi kwasababu hata mafingasho yake ni heavyweight. Lakini nachoamini kwenye biashara ukiwa makini mauzo yako ukawa unayarudisha dukani chapu wewe kujaza mzigo ni fasta tofauti na mtu anayejiuliza sjui hii niweke huku na hii ndo nifungashe.
Jamaa wakawa wananicheka pesa huna kufungua frem huwez wewe endelea kutuuzia sisi tu jichange baadae ndo ufungue.
Nikawa najisemea mwenyewe tu kwamba hakuna kinachoshindikana na hawawezi kujua namiliki tupesa twa kiasi gani hata kama ni tudogo ukilinganiaha na wao japo boss ni mmoja wengine wa2 ni wadogo zake tu.
Huwa nina mentality moja na naomba hata wewe msomoja nikupe "say gud and huge wishes about/to yourself". Huwa nina imani kwamba mimi sijawahi kushindwa kitu tangu nimezaliwa na siyo kwamba sijawahi kushindwa kweli hapana ila sijawahi kushindwa kwasababu huwa sichoki kuanza upya kitu ambacho mwanzo nilishindwa na mwisho wa siku najikuta nakuwa mshindi.
Kwahiyo maneno na vituko vya jamaa zangu havikuwa vinaniteteresha hata kidogo ila huwa nikiwaangalia nawaona kabisa ni swala la muda tutaheshimiana kwasababu kiakili bado niwachanga tu.
Nilivoona wananikatisha tamaa nikaona niache kuwashirikisha mambo yangu nyeti hii ndo hatua ya kwanza niloichukua.
Then nikaanza mdogo mdogo kutafuta frem kimya kimya.
Sasa siku moja nilishangaa sana, huyu jamaa yangu aliniuliza tena kuhusu frem, then akaongezea na kusema "kwahyo unataka ufungue ili utukimbize sio?"
Hii kauli ndo nilikuwa naisubiri kwasababu ilinithibitishia kwamba mimi ni mshindi ndomana wanaogopa na kunikatisha tamaa nisifungue frem. Baada ya hapo nikaongeza umakini nilipokuwa nao karibu, sikuruhusu washike cm yangu nilibadilisha passwords.
Nitawambia kwanini nilibadilisha passwords na kwanini sikutaka washike simu yangu.
Seee you..........
Upo hatua nzuri Ila hiyo hatua uliyopo jitahidi imbatane na HEKIMA na upende maadui zako na wapinzani wako but don't trust them and don't share anything positivity with them .
Mwanzo niliona haina shida hata wakiniomba cm labda waingie online kama at the time wanakuwa hawana ma bando au labda ikitokea tu wanashuka simu yangu kwasababu zingine za kawaida tu nilikuwa sio shidaKwanini mwanzo ulikuwa unawapa washike simu yako?
OkHadithi zako huwa ni nzuri, hakikisha next time unamalizia yote hadi iishe.
Yeah pole yake asee awe nao makini
Machoni kama watu mioyoni hawana utu...Yeah pole yake asee awe nao makini
Kaa nao mbali aseeMachoni kama watu mioyoni hawana utu...