Nimeamini urafiki wa kinafiki upo

Nimeamini urafiki wa kinafiki upo

Bado stori inaendelea..., ila kimtindo nakuona kama nawewe una kaunafiki fulani ka kusaidia au kuona kuwa unafanya kazi ya kuwabadilisha jamaa zako, kwamba bila ushauri wako hawatoboi.
Biashara ina changamoto sana, hata mm Huwa nawafata watu wanishauri juu ya mambo flani flan kubaki kataa ushaur ni kitu cha msingi sana
 
Maslahi yanasogeza marafiki na maadui kwa wakati mmoja ..
 
Tuendeleee.......

So baada ya lile tukio zilipita kama siku 3 nilisafiri kidogo niliporudi nikakuta lile tangazo lipo lakini wimbo wamebadilisha wameweka mwingine nafikiri ni wa diamond ule, sikuwaongelesha chochote kuhusu tangazo na kwanini wamebadilisha wimbo nikakaa kimya nikajiambia tu kwamba tayari wamegundua walipokosea.

Baada ya kama siku mbili jamaa akanifata akanambia kwamba aligundua kuwa wimbo haukuwa sawa ndomana kabadilisha, nikamwambia usiwaze tunajifunza kupitia makosa. Stors zikaishia hapo.

Baadae katika stors na utani jamaa wakaanza kuongea kwamba muda mwingi ushauri wangu huwa ni wamaana sana wakawa wanarefer matukio yalopita hasa haya mawili kuhusu kutongoza wateja hovyo na lile tangazo. (Sijisifii wadau lakini tunatofautiana katika kufikiria)

UNAFIKI WA JAMAAA YANGU.

Jamaa akaniuliza nimefikia wapi juu ya lile swala la kufungua frem huku ananicheka "aaaah pesa huna wewe unatokea wapi pesa ya frem unadhani ni kama nyanya"

Sasa nikawa simuelewi jamaa kwanini hasa ananikatisha tamaa kivile na madharau juu, of course kwa mtaji alonao jamaa ni mkubwa kwasasa kunizidi mimi kwasababu hata mafingasho yake ni heavyweight. Lakini nachoamini kwenye biashara ukiwa makini mauzo yako ukawa unayarudisha dukani chapu wewe kujaza mzigo ni fasta tofauti na mtu anayejiuliza sjui hii niweke huku na hii ndo nifungashe.

Jamaa wakawa wananicheka pesa huna kufungua frem huwez wewe endelea kutuuzia sisi tu jichange baadae ndo ufungue.
Nikawa najisemea mwenyewe tu kwamba hakuna kinachoshindikana na hawawezi kujua namiliki tupesa twa kiasi gani hata kama ni tudogo ukilinganiaha na wao japo boss ni mmoja wengine wa2 ni wadogo zake tu.

Huwa nina mentality moja na naomba hata wewe msomoja nikupe "say gud and huge wishes about/to yourself". Huwa nina imani kwamba mimi sijawahi kushindwa kitu tangu nimezaliwa na siyo kwamba sijawahi kushindwa kweli hapana ila sijawahi kushindwa kwasababu huwa sichoki kuanza upya kitu ambacho mwanzo nilishindwa na mwisho wa siku najikuta nakuwa mshindi.

Kwahiyo maneno na vituko vya jamaa zangu havikuwa vinaniteteresha hata kidogo ila huwa nikiwaangalia nawaona kabisa ni swala la muda tutaheshimiana kwasababu kiakili bado niwachanga tu.

Nilivoona wananikatisha tamaa nikaona niache kuwashirikisha mambo yangu nyeti hii ndo hatua ya kwanza niloichukua.
Then nikaanza mdogo mdogo kutafuta frem kimya kimya.

Sasa siku moja nilishangaa sana, huyu jamaa yangu aliniuliza tena kuhusu frem, then akaongezea na kusema "kwahyo unataka ufungue ili utukimbize sio?"

Hii kauli ndo nilikuwa naisubiri kwasababu ilinithibitishia kwamba mimi ni mshindi ndomana wanaogopa na kunikatisha tamaa nisifungue frem. Baada ya hapo nikaongeza umakini nilipokuwa nao karibu, sikuruhusu washike cm yangu nilibadilisha passwords.

Nitawambia kwanini nilibadilisha passwords na kwanini sikutaka washike simu yangu.

Seee you..........
 
Boss unaleta fupi fupi sana3
 
Tuendeleee........

Nilianza harakati za kutafuta frem kimya kimya sikutaka kabisa jamaa wajue.
Kutokana na ugunu wa upatikanaji wa frem zoezi lilichukuwa mda mwingi sana mpka frem kupatikana.

Kipindi nipo na harakati za kutafuta frem, kuna siku jamaa alipata wazo la kufungua group la watsap la kazi ya kulifungua hilo group alinipa mimi.
Bila hiana nikamfungulia, jamaa akasema nijiweke namimi kuwa admini yani ma admin jumla wawe wa4, mimi na wao wa3.

Nilipokuja kustuka kwamba hapa jamaa alitaka kunifanyia unyama ni kunambia nisambaze link kwa watu wangu na ikiwezekana na wateja wangu wote niwawekee kwenye group lake, duuuh kitu ikaclik kichwani nikaona hapa nafanyiwa unyama kabisa.

Nikamjibu siwez kumuadd mtu kwenye group pasipo ridhaa yake labda cha kufanya ni kusambaza link atakayeona inafaa atajoin mwenyewe kwa utayari wake.

Siku zikaenda nikapata frem, nikafanya taratibu zote then nikaanza kudizaini na kuweka mali.
Nikaona muda wa muafaka umefika wa kuwaambia kwamba tayari nimeshapata ofc na kazi inaanza rasmi.
Siku hiyo naenda kuwapa taarifa walikuepo wote madukani kwao kwahyo tulikaa wote wa4 nikamwambia wasela wakaanza kunizingua wakidai kwamba ni uongo na sina huo uwezo.

Nikamwambia basi kama hamuamini mimi nilitaka kuwapa taarifa tu. Jamaa akanambia twende nimuonyeshe ofc yangu sikupinga tukawasha pikpik tukaenda.
Tulipofika jamaa alipoa sana akawa mpole kinoma.
Jamaa akanipa hongera akanambia nikaze ili niadvance zaidi, ushauri niliuchukua lakini nikaona kabisa ni wa kinafiki hakuna rafiki pale.

Kwasababu jamaa anamzigo mkubwa sana nikaona so kesi nianze kwa kuchukua mzigo kwake kwasababu unakuta tofaut ya kuchukulia kwake na kariakoo ni jero tu au buku nikawa naona so kesh mi ngoja nimuungishe msela kwasababu nayeye pia anachukulia mali kwangu.

Unafiki haukuisha, nilikuwa namshirikisha katika ideas mbalimbali juu ya bidhaa za kuweka dukani nikaona kila nachomgusia kwamba niweke kitu flan ananambia acha usiweke hautauza, lakini yeye dukani kwake vipo hivo vitu na anauza 😃😃 lakini mm ananikatalia kabisa nisiuze.

Sasa anapokuwa ananikatisha tamaa akikaa siku mbili tatu akija kunitembelea dukani anakuta nishaeka hizo mali ambazo alinikataza nisiweke. Anachonichosha akikuta nimeweka hizo mali ananipna hongera mwanangu hongera sana kaza kaza utatoboa.

Anauliza unafungasha kwa shingap? Nampa bei then ananambia ah nikienda kariakoo nitakuletea kwa Bei rahisi sana hao wamekuoiga 🤣🤣, unakuta jamaa anaingia kwenye mifumo yangu na anachoka anaponikatisha tamaa hafu muhuni sitetereki wala nini.

Sasa jamaa mwezi ulopota aliniita tukakaa kuongea, akanambia mwanangu tuongee kama watu wazima kama marafiki ujue tumetoka mbali mara ooh tunashauriana na kusaidiana vitu vingi.

Kanambia jamaa yangu nimeona una spirit ya kupambana na upo na misimamo na kukisimamia unachoamini.
Kwahiyo mimi kama rafikiako napenda kukua Baraka zangu zote wewe piga kazi ndugu yangu.
Akanambia swala la pili ni kwamba yupo tayari kunikopesha pesa kiasi flan ili nijaze zaidi Ofc yangu na nitarudisha muda nitakayoipata na haitakuwa na riba.

Nikajisemea tu chui ni chui hawezi kubadilika kuwa mbuzi.
Nikamshukuru kwa kuwa tayar kwa kunisaidia na nikamwambia ukifika muda nahitaji msaada bas nitamwambia ila kwasasa hapana sina mpango wa kujaza ofc kwa pesa ya mkopo nitapambana hvohvo nikiuza chap nafungasha hata kama ni laki nafungasha hiyohiyo.

Tutamalizia..........
 
Back
Top Bottom