Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
 
Sie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.

Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
 
Pole Mkuu! Wakati JPM anaingia madarakani alitimsha watu wengi sana maofisini kama ‘watumishi hewa’ wengi kiliwaramba, halali na sio halali lakini maisha hyakuishia hapo na wengi waliopigwa chini walirudi na maish bora zaidi.

Hiko kinachoendelea hapo mkuu kichukulie kama hakikwepeki then angalia upande mwngne tusonge mbele. Maisha ni kuangalia mbele na sio kunung’unika daily.

Stand up kamanda tusonge mbele!!
 
Sie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.

Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
Hao ng'ombe wakoje? Matunzo yao si itakuwa ni high sana? Milioni 6 ni umri gani?
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Mungu alipokea dua zenu kuwa ampe ushindi Trump,sababu Kamala ni mwanamke hawezi kuongoza nchi
 
Sie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.

Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
Nina mwanangu alikuwa kwenye mradi anavuna milioni 5 kwa mwei, mradi ukaisha hata hela ya gesi, hela ya vitu vidogo, msosi wa mtoto ikawa mbinde, nilimpa sana kampani kipindi hiki, kapata kazi tena kasahau kila kitu 😂🤣
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
MAGA imeanza kufanya kazi.
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Uwezo wa nchi unapimwa kwa mambo ya msingi.

Nchi ambayo bado inapewa misaada ya matundu ya vyoo na ambayo inapoteza watoto wadogo wenye damu ya kisiasa inayochemka kama akina Soka nakuhakikishia, nchi hiyo ni failure ktk anga zote.

Akili isiyoweza kusolve matatizo ya msingi kama vile maji, matundu ya vyoo, madawati usitegemee inaweza kuwa nzuri kwenye mambo complex kama ya ulinzi ktk geopolitics.
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Mbona bado mapema
 
Back
Top Bottom