Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Sasa wanataka mpaka magari ili wayapeleke wapi tena

ARV's zikifikiwa sijui kutakuwa na hali gani
 
R sana kwa moyo huo. Ila kama ulimbeba kipindi hicho ni heri kumkumbusha kuwa a history repeats itself, hivyo ajiandae.
Sikia wakati kapata ajira ile nilimshauri awekeze hakufanya hivyo, alipoanguka nilimsaidia, huku pia nikimwambia akifanikiwa awekeze vizuri kuna hiki, hiki na hiki.
Amefanikiwa, yupo kimya ni ngumu kurudi kwake na kuanza kumuuliza hiki na kile, kama ataona umuhimu wangu atanitafuta.
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Kwahiyo mshikaji huna ajira yaani kiufupi wewe ni new jobless in town Kaka ?
 
kuna Familia bongo naifahamu kote kuchungu marekani na bongo..Kaka yuko miradi ya USAID hapa Tz, Dada ana overstay ya muda mrefu marekani.akidakwa tu bongo..Mama yao yuko roho juu ana amani..
Safi sana,Trump ni kiongozi shupavu, Kamala angewachekea
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Ukifungwa mlango mmoja. Kuna mingine inafunguka
 
Yako Mengi Kuna MDH, Jhpiego, Cuamn, PAM, TPH, GLOBAL Fund ,MDU,Amreff Ni kwamba Mbugi kubwa ya Watanzania Inaenda Kukosa Ajira
Kheri ya mwaka mpya chief .
Hakika ni kilio Kuna mwingine huku anawadanganya watu anahama kituo eti anaelekea mjini na watu wakiniuliza inabidi nijume ume nisiseme ukweli mshikaji akaona kuwa sifai
 
Back
Top Bottom