cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Mkuu bado watu wengi hawatambui ukweli huo! Nimewahi kuandika humu, kuchimbiwa mashimo ya choo niaibu kubwa mno! Hata kuletewa Condoms tu! inasikitisha!Uwezo wa nchi unapimwa kwa mambo ya msingi.
Nchi ambayo bado inapewa misaada ya matundu ya vyoo na ambayo inapoteza watoto wadogo wenye damu ya kisiasa inayochemka kama akina Soka nakuhakikishia, nchi hiyo ni failure ktk anga zote.
Akili isiyoweza kusolve matatizo ya msingi kama vile maji, matundu ya vyoo, madawati usitegemee inaweza kuwa nzuri kwenye mambo complex kama ya ulinzi ktk geopolitics.