Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Uwezo wa nchi unapimwa kwa mambo ya msingi.

Nchi ambayo bado inapewa misaada ya matundu ya vyoo na ambayo inapoteza watoto wadogo wenye damu ya kisiasa inayochemka kama akina Soka nakuhakikishia, nchi hiyo ni failure ktk anga zote.

Akili isiyoweza kusolve matatizo ya msingi kama vile maji, matundu ya vyoo, madawati usitegemee inaweza kuwa nzuri kwenye mambo complex kama ya ulinzi ktk geopolitics.
Mkuu bado watu wengi hawatambui ukweli huo! Nimewahi kuandika humu, kuchimbiwa mashimo ya choo niaibu kubwa mno! Hata kuletewa Condoms tu! inasikitisha!
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!


Trump ni shetani kabisa

Sio wewe...angalia Kenya:

1739063228038.png
 
Duuuh! kama ni mwanaume, punguza wivu kwa mkeo,wabaya wako waliokua wanaktamani mkeo,watamnyoosha kinomanoma.Pole sana,ji-adjust mapema kuokoa familia.
Teacher vp ushapata ajira hizi za juzi?
 
Back
Top Bottom