Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Kheri ya mwaka mpya chief .
Hakika ni kilio Kuna mwingine huku anawadanganya watu anahama kituo eti anaelekea mjini na watu wakiniuliza inabidi nijume ume nisiseme ukweli mshikaji akaona kuwa sifai
Kuna Rafiki angu Nilikuwa namshauru kila siku aje tupambane serkalini Huku Alikuwa hataki Kabisa kafanya kazi huu mwaka wa 18 Ila jana kanipigia Simu analalama sana...

Mambo yanaenda Kuwa magumu sana Sijui kama serkali ilijiandaa kwa Hii Kitu..

Japo tunafanya vikao vya normalise the situation ila Bado ni tight
 
Sina hakika, sababu sasa hivi sio km zamani, inaweza kupita miez 6+ huko hajakucheki, hata salamu ngumu, sasa katukuta sisi maskini jeuri, hatusaidii ili na wao watusaidie kesho la hasha, huwa tunasaidia sababu tunaona watu wetu wa karibu wametingwa(wana shida kushinda shida zetu) tunasaidia sababu sisi mtu akikunyooshea mkono wa kuhitaji, huwezi kuficha mkono wako mgongoni, nawe unamnyooshea kumpa kile kidogo ulichonacho.
Una Tabia nzuri sana, unafaa kuwa kiongozi
 
PEPFAR?

Pole,Funga mkanda. It shall be well, of course with time.
 
Ndugu yangu anafanya kazi na masharika ya ukimwi yanayofadhiliwa na USAID... aliacha hata kutusalimia..akifikiri tutamwomba pesa.. hashiriki shughuli yoyote ya mchango wa familia.. nimeshangaa jana usiku amenipigia.. nikamwambia umekosea namba.. alikuwa mpole
Haahaa. nyinyi kwenu Trump kawa blessing karudisha undugu wenu. hongera mkuu. 🤝🤝
 
Kuna Rafiki angu Nilikuwa namshauru kila siku aje tupambane serkalini Huku Alikuwa hataki Kabisa kafanya kazi huu mwaka wa 18 Ila jana kanipigia Simu analalama sana...

Mambo yanaenda Kuwa magumu sana Sijui kama serkali ilijiandaa kwa Hii Kitu..

Japo tunafanya vikao vya normalise the situation ila Bado ni tight
Hakika ni huzuni kabisa ,Kama nawaona wafamasia wanavyokimbizana kuficha TLD
 
Mbona wa africa huwa baadhi yetu wanafurahia sana anguko la mtu mwingine?
siyo afrika peke yake, binadam wengi wako hivyo, kpindi jpm anaaga dunia u.s.a haikutoa pole lakini walimpa hongera Samia,
Hata pale Gaza Israel inafurahi kuendelea kudondoshea mabomu raia na wala husikii kuchukuliwa yoyote,
Turudi hapa bongo kisiasa kimpira kibiashara kote tunapenda kumwona mwenzio ameanguka,

Kila mwanadam ana ushetani wake upande wa pili
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Yeye sio shetani ila watu wetu ndio mashetani,kwani kwao haki na wajibu hauwahusu ila una mhusu huyo Tramp na wengine wenyekujua wajibu wao na haki za watu wao na jamii.
 
UN Global si imetoa tangazo huduma zinaendelea?

Pia, trump si alisema program inahakikiwa kwa kipindi cha miezi 3 siyo kwamba imeisha?
Ndio imetoka hivyo,vinginevyo mkubaliane na masharti yake mapya anayoyaunda kwa hasira kuu na kwa kasi ya mwanga.
 
Ndio imetoka hivyo,vinginevyo mkubaliane na masharti yake mapya anayoyaunda kwa hasira kuu na kwa kasi ya mwanga.
Yaani idea yake ilikua ni kufanya uhakikia huku huduma zimesimama.

Juzi UN Global imetangaza huduma zinaendelea.
 
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.

Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!

Trump ni shetani kabisa
Pole
 
Acha kujifariji wewe, nani alietumbuliwa kwa vyeti feki alirudi na maisha bora zaidi ya kutaharuki na wengine pressure ziliwapanda.
Wengi sana ukikaa huko kijijini uwezi waona, njoo mjini tukuonyeshe
 
Back
Top Bottom