Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Sema hawa wazee ukiondoa mambo yao ya upinde, wanatusaidia sana hizi nchi zetu zilizowekeze kwenye ufisadi. Lasivyo tungeisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yako Mengi Kuna MDH, Jhpiego, Cuamn, PAM, TPH, GLOBAL Fund ,MDU,Amreff Ni kwamba Mbugi kubwa ya Watanzania Inaenda Kukosa Ajira
Psychology of MoneyHii hali imewakumba jamaa zangu pia, vipato vyao ni above average ila baada ya hiyo notice watu wanachanganyikiwa.
Kadri kipato kinavyoongezeka, matumizi yanaongezeka, usishangae mtu anapata 5m+ kila mwezi na anapewa notice ila Bank hana mia, scary!
Sikia wakati kapata ajira ile nilimshauri awekeze hakufanya hivyo, alipoanguka nilimsaidia, huku pia nikimwambia akifanikiwa awekeze vizuri kuna hiki, hiki na hiki.R sana kwa moyo huo. Ila kama ulimbeba kipindi hicho ni heri kumkumbusha kuwa a history repeats itself, hivyo ajiandae.
Hii kitu isikie Kwa jirani tu but it’s dangerous game ikifika kwako na hasa km ulikua unajisifia mtaani Kwa kutoweka akibaUmepata familia kwa msaada wa watu wa marekani
Kwahiyo mshikaji huna ajira yaani kiufupi wewe ni new jobless in town Kaka ?Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
narudia tena huo ni ujinga na ulimbukeni mkubwaKadri kipato kinavyokuwa, ndivyo matumizi yanavyozidi kuwa makubwa. Elewa hivyo mkuu!!
Poleni watu wa Afya kwa umoja wenuPolee sana Kiukweli Ni kwamba Tamko la trump limeathiri Uchumi wa nchi na watu wa Afya wanasikitika sana
Safi sana,Trump ni kiongozi shupavu, Kamala angewachekeakuna Familia bongo naifahamu kote kuchungu marekani na bongo..Kaka yuko miradi ya USAID hapa Tz, Dada ana overstay ya muda mrefu marekani.akidakwa tu bongo..Mama yao yuko roho juu ana amani..
Ukifungwa mlango mmoja. Kuna mingine inafungukaHali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Kheri ya mwaka mpya chief .Yako Mengi Kuna MDH, Jhpiego, Cuamn, PAM, TPH, GLOBAL Fund ,MDU,Amreff Ni kwamba Mbugi kubwa ya Watanzania Inaenda Kukosa Ajira