😂😂😂😂Umepata familia kwa msaada wa watu wa marekani
Hao ng'ombe wakoje? Matunzo yao si itakuwa ni high sana? Milioni 6 ni umri gani?Sie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.
Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
Mungu alipokea dua zenu kuwa ampe ushindi Trump,sababu Kamala ni mwanamke hawezi kuongoza nchiHali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Nina mwanangu alikuwa kwenye mradi anavuna milioni 5 kwa mwei, mradi ukaisha hata hela ya gesi, hela ya vitu vidogo, msosi wa mtoto ikawa mbinde, nilimpa sana kampani kipindi hiki, kapata kazi tena kasahau kila kitu 😂🤣Sie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.
Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
Kazi ni kazi,leta kaziNadhani ni wakati wangu kuanza kuajiri vibarua mashambani mwangu si mda nitaanza kuvuna watu humu humu JF wa kwanza akiwa mleta mada
MAGA imeanza kufanya kazi.Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Uwezo wa nchi unapimwa kwa mambo ya msingi.Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Mbona bado mapemaHali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.