Nimeamini wanaume hawaaminiki

Tatizo kuna wanawake mnapenda sana kutongozwa. Hata kama mnaona kabisa haiwezekani kuwa wapenzi utatengeneza mazingira tu utongozwe useme nilikuwa nakuheshimu mno halafu wakati mwingine muhusika akikazana sana unaachia unajikuta tayari mshavuana nguo mambo yanavurugika, urafiki unakufa au mimba hiyo hapo unavuruga familia ya watu sababu tu mnapenda kutongozwa.
 
Hivi tunaachajwe kizembezembe hivi jamani?kesho Kuna kikao Cha dharula,hapa Kuna mawili,ustaadhi wa unguja katulia Hela au kungwi wa maneromango katulisha matangopori,,,Lamomy kikao Cha dharura
Mimi sikubali mpk nikakipige kiberiti kilinge cha ustaadhi hawezi kula pesa ya mkinga bure 🀣🀣🀣🀣
Na huyo kungwi ajiandae nampokonya gold zake zote kufidia pesa yangu..!!!

Ss hivi tumlete kungwi kutoka Oman dada sitaki kuachika tena kwa babe mupya.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah! Mkuu umeshiba magimbi unakuja kuniachia mishuzi mimi
Hupendi kutongozwa, sema ukweli? Hujasikia raha kuona mume wa rafiki yako kapagawa na urembo wako hata kama humtaki?
 
mtu hana smartfone anawezaje kuwa mwema. ni kujikaza tu
 
Bora nimwite Lucas Mwashambwa yeye atakua upande wanguπŸ˜„
Mimi nipo upande wako kiroho na kimwili .yaani nipo wote wote kwako.Nitakupenda Daima. hata wageuke wote na kukushambulia wewe lakini katu mimi sitageuka kuwa jiwe . ephen wewe ndiye uliyebeba moyo wangu katika jf. Nitatukanwa na wote na kila mtu lakini wewe hata unufanyie nini baya bado nitaongeza na kuchochea upendo wangu kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…