Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wala usijali maana machozi ya furaha utayaona siku hiyo yakitoka yenyewe utafikiri umepakwa pilipili kichaa usoni.Sijawahi kububujikwa na machozi ya furaha nasubiri hiyo siku😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala usijali maana machozi ya furaha utayaona siku hiyo yakitoka yenyewe utafikiri umepakwa pilipili kichaa usoni.Sijawahi kububujikwa na machozi ya furaha nasubiri hiyo siku😂
Hatumtetei kweni ataondoka nayo?Bora wewe umenifariji
Hawa wengine wanamtetea Baba Cathe😂
Itakuwa ni kamoooo baba catheeey. Maskini mzee wa watu. Sidhani kama atatoboa.Nimefunga mahojiano! Unanichosha
Yaani magumu mno kama miwa ya kiangazi mdogo wangu😇Hili penzi hivi week lilifikisha kweli?? 😂😂😂
Mahusiano ya humu ni magumu sana!!
Mkuu, wanaume tunapewa sababu ya kutongoza, huwa hatukurupuki.Eti alikuwa anaaga "sheeeeeeem usiku mwema"Ulikuwepo?😂
sasa hivi utaingia mtegoniBora wewe umenifariji
Hawa wengine wanamtetea Baba Cathe😂
Mimi nilichojifunza hapa ni kwamba ephen ana bonge la chura😋Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hatari hiiiMm kumdinya mwanamke mwngn haimanishi simpendi mke wangu
Mi ndiomana siyataki unajua uko peke yako kumbe mmepangwa piemu 😂😂😂😂Yaani magumu mno kama miwa ya kiangazi mdogo wangu😇
Labda uache kuonana naye kabisa, hata hapo kwake usiende. Kinyume na hapo kuna siku tu neno sikutegemea litatumika tena kama ambavyo hukutegemea kukutana naye uchochoroni.Siwezi kuingia
Hapo sasa akiwa anaondoka kwa baba cathe unadhani halitatikisika? Unadhani baba cathe hataona mtikisiko? Utamlaumu baba cathe?Mimi nilichojifunza hapa ni kwamba ephen ana bonge la chura😋
Chura mkubwa mwenye madoa doa😋😎Niombe msamaha!
Kaka namuonea wivu baba catheHapo sasa akiwa anaondoka kwa baba cathe unadhani halitatikisika? Unadhani baba cathe hataona mtikisiko? Utamlaumu baba cathe?