Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nikweli,hili nimeliona pia,....kama ningelikuwa SINA AKILI, basi ningelipiga Mashemeji mpa mama wadogo....ni vyema kukaa nao mbali tu...
 
Mara uchochoro mara kibarazani,uswazi huko,waswahil hamuaminiki,ni full maigizo

 
Alichokosea, na kukosea sana ni kukutaka wewe
 
Ipo siku isio na jina mtajikuta kitandani ni suala la muda.
Best course of action ni kuhama hapo.
 
Wifi wana wa Israel wanifiche wananiweza??
Ww nishakwambia bro yupo na maokoto mengi njoo nikupe mbinu tumpune unazingua..!! Kuna wenzio kibao wanampigia mingle shauri yako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yupii huyoo?
 
Nitongoze mtu anaetaka pesa mda wote kama ndugu yake ili nigundue nini[emoji23][emoji23][emoji23]wambwebwe
Sasa na mie nitongozwe na apeche alolo, c uchuro na gundu hii? Em kwendraaaaa huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushaingiza ukabila? Ni ajabu kuona unakariri vitu vyangu.....
Hujawahi kucheat?
Wanaume wote mnacheat!
Toka nioe sijawahi kucheat.
Nazungumzia ndoa sio mapenzi ya kifala ya boy friend na girl friend.
Ni ndoa ya tatu hii toka ya kwanza sikuwahi kucheat.
Hivyo rekebisha kauli,si kila kitu hutokwa asilimia mia,hata hiyo mashine haina ufanisi wa asilimia mia.
Narudia wapo wanaume tu watulivu kwa wakezu hatuwasaliti.
Ova

EID MUBAARAK.
 
Kama hujawahi kucheat Excellent..!
Pasaka njema na wewe pia.
 
Sio kwamba anakufokea, heading ya Uzi wako ndio imeleta yote hayo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nikweli,hili nimeliona pia,....kama ningelikuwa SINA AKILI, basi ningelipiga Mashemeji mpa mama wadogo....ni vyema kukaa nao mbali tu...
Tena mbali kabisa na huenda usingepiga ila wangeharibu mahusiano Yako wanawake wako vizuri sana kwenye ku ruin ndoa hasa za mabest zao wakiwa na kauli "alinitaka mwenyewe"kumbe amekutega hadi ukaingia line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…