Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wangu unaoneshaje kutoaminika?? A single woman kumtamani a single man ni kutoaminika?
Na Bado haujaja na kwangu, Nakutongoza, ukinigeukia nakukonyeza napita mule mule tu kwa Baba Cathe.Kiranga mwenyewe
NImesema nitatulia!
Hilo andiko liko kitabu gani mama?BIblia imekataza Dhulma
Kutembea na mume wa mtu ni kumdhulumu mke wake.
Nazungumzia biblia hapa, kitabu gani sura na mstari...Biblia
Hapo anazungumzia mali mama, dhuluma ya mali...Zaburi 62:10
Kwa hiyo kulishana ndio kwako unaona Upendo sana si ndio? Basi sio kesi tafuta wa kukulisha 😂😂Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Sasa malalamiko ya nini ukitokewa? Si ukubali au ukatae? Kwani akuache wewe ni dada yake?Ninae tayari
Ndio Kwa sababu ni ajabu mwanamke kusimulia eti kutongozwa.Sasa mwanamke kutongozwa si ni kawaida au wewe kwako inatokea kama bahati?Kwanini unanifokea sasa
Nimefanya vibaya kuleta mkasa wangu😒
Wewe una matatizo,mume wako anakupenda au? Kwa hiyo Kwa akili zako hatongozi wengine au?Nilichoshangaa ni kuona mwanaume anayempenda mke wake kiasi kwamba wanabebishana hadharani kutafuta mchepuko
Nilikua sijui hayo kupitia comments za wadau ndo nimejua hiyo tabia yenu wanaume,Wewe una matatizo,mume wako anakupenda au? Kwa hiyo Kwa akili zako hatongozi wengine au?
Kupenda na kutongozwa na kuwala wengine havihusiani.
Tena huyo mumeo unaedhani anakupenda sana anaweza kuwa anakula Malaya Ili mambo ya kufuatiliana yasiwepo.
Kila mwanaume anayafanya hayo unayoshangaa.
Yaan hapo uduguu utakua umecheza km Pele.Tatizo kila nikikurudisha unaharibu, haya ngoja nile pilau kwanza la eid ili nipate nguvu za kumuingia shem [emoji23][emoji23][emoji23]
Mjep mkeo ka surrender huku, anataka kurudi.
You are single, and I'm single. Mbona huoneshi dalili zozote za kunitaka?Wanaume wanatafuta njia za kutakatisha uovu wao
Ni sawa single to single
Kufoka lazima, maana unamsingizia Baba Cathe wakati chanzo ni weweKwanini unanifokea sasa
Nimefanya vibaya kuleta mkasa wangu😒
Una uhakika gani kama anatafuta mchepuko? Labda anataka kuongeza mke wa pili je?Nilichoshangaa ni kuona mwanaume anayempenda mke wake kiasi kwamba wanabebishana hadharani kutafuta mchepuko