Nimeamini wanaume hawaaminiki

Kwa hiyo kulishana ndio kwako unaona Upendo sana si ndio? Basi sio kesi tafuta wa kukulisha 😂😂
 
Hapo anazungumzia mali mama, dhuluma ya mali...
Mume wa mtu pia ni kumdhulumu mke wake
Biblia inasema ndoa ni ya wawili, kwanini mimi wa tatu niingilie?

Amri ya 10 inasema usitamani mume/mke wa jirani yako
 
Nilichoshangaa ni kuona mwanaume anayempenda mke wake kiasi kwamba wanabebishana hadharani kutafuta mchepuko
Wewe una matatizo,mume wako anakupenda au? Kwa hiyo Kwa akili zako hatongozi wengine au?

Kupenda na kutongozwa na kuwala wengine havihusiani.

Tena huyo mumeo unaedhani anakupenda sana anaweza kuwa anakula Malaya Ili mambo ya kufuatiliana yasiwepo.

Kila mwanaume anayafanya hayo unayoshangaa.
 
Nilikua sijui hayo kupitia comments za wadau ndo nimejua hiyo tabia yenu wanaume,
Siku nyingine niambie kwa utaratibu usinifokee kama unabishana na Chadema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda unirudishee kwa Mjep
Fanya hvyo bas.
Tatizo kila nikikurudisha unaharibu, haya ngoja nile pilau kwanza la eid ili nipate nguvu za kumuingia shem 😂😂😂
Mjep mkeo ka surrender huku, anataka kurudi.
 
Hujawahi kuwa mwanaume si huwezi kuelewa namna wanaume wana behave kiufupi stay on your lane mengine achana nayo.
 
Tatizo kila nikikurudisha unaharibu, haya ngoja nile pilau kwanza la eid ili nipate nguvu za kumuingia shem [emoji23][emoji23][emoji23]
Mjep mkeo ka surrender huku, anataka kurudi.
Yaan hapo uduguu utakua umecheza km Pele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichoshangaa ni kuona mwanaume anayempenda mke wake kiasi kwamba wanabebishana hadharani kutafuta mchepuko
Una uhakika gani kama anatafuta mchepuko? Labda anataka kuongeza mke wa pili je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…