Nimeamini wanaume hawaaminiki

Sijui kwanini watu huwa hawaelewe hili!
Hiyo sentensi nilimwambia de Gunner akaniambia mimi ni mbinafsi, ni mtu mbaya.
Watu wengine wanaweza wakawa chachu ya wewe kufurahia, ila itategemeana na jinsi unavyowachukulia au uzito wao kwako.

Some people bring peace n joy to us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…