Nimeamini wanaume hawaaminiki

Go to the point.. Kala mzigo na ume mwaga.. Uwongo uwongo?
 
Hoja za upande wa mashitaka zilizohitimisha kuwa wanaume wote wana-cheat hazina mashiko.
Hivyo hii kesi naitupilia mbali labda mkaandae hati ya mashitaka upya.

Pia ukumbuke baba Cathe katika utetezi atawakilishwa na wanaume wa JF na wengine wanaendelea kujitokeza.
Ukishindwa kesi itabidi ulipie gharama ambazo baba Cathe na sisi wanaume hatuna baya, hatutaki hela tunataka utelezi tu.

Ahsante.
 
Eeeh sababu ya huyo mzee ndo umefikia conclusion kwamba wanaume wote wnacheat...

anyway....mpe tu maisha yenyewe ndo haya haya
 
Sasa na mie nitongozwe na apeche alolo, c uchuro na gundu hii? Em kwendraaaaa huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wewe hunkume kwer Mimi ata teni hulambi ndio maana sikushoboka🤣🤣huu uapeche alolo nimekua nao ndio maana nmekua mgumu zile ndio za chuma
 

Siyo wanaume wote wanaocheat ,Hao hao aina ya baba cathe.Wengine waliokombolewa na Neema ya Kristo Yesu ni waaminifu mpaka kufa.Hata wanawake pia wapo ambao ni cheaters.Ila siyo wanawanawake wote .wapo waliookolewa na na neema ya Bwana Yesu kristo

Mungu afungue neema ya uaminifu katika ndoa!
 
Amen mtumishi!
 
wewe unakoelekea unaenda kuvunja ndoa ya watu. Kiherere cha kwenda kimtego tego kwa mume wa mtu unataka kuleta kizaa zaa sasa.
kAMA utajaribu kumwambia mama cathy kuwa bba cathy kakutongoza nitakuua mchana kweupe nikiwa live Instagram. Naagiza mpe huo utamu muachane vizuri
 
Hahahaha! Eti mzee kapatwa na nini.
Mzee kapatwa na ugonjwa natural unaitwa neuroactivation. Unakuwa unashindwa kufikiri critically baada ya kuona binti mzuri mwenye umbo namba 8. Sema mzee kazingua, mimi ningekunasa bila kujua, subtly yet effective immediately.
 
Uyo Mzee hataki kukuona na mke wake ndo maana anakufukuza kijanja ila we huelewi ,bado unarudi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…