Nimeamini wanaume hawaaminiki

wanadamu wote kwa asili hawaaminiki, ni waovu, wanaweza kuacha uovu kwa nguvu za Mungu tu, baada ya kumpokea Yesu Kristo na kujazwa Roho Mtakatifu atakayewasaidia kushinda dhambi. wewe unayesoma hapa kumbuka maneno haya, au hata wewe unayetafuta mume au mke, nakuhakikishia mke wa kweli au mume wa kweli utampata kama utakuwa mikononi mwa Mungu, ama la, hata ukimpata mwanamke mzuri au mwanaume handsome, asipokuletea ukimwi, atakuletea watoto wa nje, atakupiga, atakengeuka, atakuletea michepuko na vyote unavyovijua. na hiyo ni kwa wote wanaume na wanawake. tunaacha au kushinda dhambi kwa msaada wa Mungu tu, ila kwa uwezo wetu hatuna nguvu ya kushinda dhambi hata tungeweka sheria za namna gani.ndio maana tunasema muokoke. tafuteni wokovu,kimbilieni huko ndiko kwenye pona yenu.

jirani yangu ni msomi, anafanya kazi chuo kikuu fulani, ana mke mzuri na msomi mwenye mshahara mzuri, ukirudi unawakuta wamekaa nje, wameshikana mikono utafikiri njiwa wanavyopendana, ila kuna siku mwanaume alirudi mchana akataka kumbaka housegirl, binti kapiga kelele akaokolewa na majirani. kumbe kila housegirl anayekuja yule jamaa huwa anamlala na mama akigundua hilo anamwondosha. ila ukimwangalia kwa nje, huamini kama jamaa ana udhaifu huo, wa kumdhalilisha mkewe kwa mahousegirl. hawezi kushinda, hawezi kuacha hilo hadi aokoke, na kama hataokoka mwisho wake ni mbahya.
 
NImeelewa mkuu!
 
Kiherehere mwenyewee!
Sitoenda tena kwao..!
 
Mwanamke akipenda kweli kweli acheat lakini sio mwanaume hawajaumbwa hivyo Yani hayo sio maumbile yao
 
Mwanamke akipenda kweli kweli acheat lakini sio mwanaume hawajaumbwa hivyo Yani hayo sio maumbile yao
mwanamke hata akipenda kwelikweli anacheat tu, ila kwasababu unaamini anakupenda hawezi kufanya hivyo ndio maana huwezi kumfumania. mwanamke yeyote asiye na Mungu moyoni (asiyeokoka kwa kweli), anacheat sana na hata usipomkuta jua tu kuwa ameshawahi kukucheat. huu ndio ukweli mchungu. makazini huko, kwenye biashara, masafarini, au ukienda kazini kama wa kwako ni golikipa atapitiwa hata na houseboys au majirani. pona yako mwambie aokoke tu, na asiokoke kwenye makanisa ya uongo ya wauza mafuta hayo, aokoke kwenye makanisa yanayohubiri wokovu wa kweli. hapo hatakuogopa wewe, atamhofu Mungu.
 
🤣🤣🤣Baba Cathe ni mtu na nusu, wanaume tuacheni tu🤣🤣
 
@Mjep ukuje hapa usomee ujumbee kutoka kwa dada angu.
 
Ma legends tushaelewa ,Hapo unataka tukupe mbinu za kuweza kutoka na Baba cathe

Sasa sikia we sahv mkikutana sehemu mataa yanaruhusu mpe no..Mengine atayamalizia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…