Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Bora ningehisi moyo ungetulia, sikuhisi chochote zaidi ya kukusubiri
Bora nijue hata kama ushapata jibu😎
Usijali kilikuwa kitu cha kawaida, na kuna mtu alinisaidia kupata majibu…!!
 
Mnajiendekezaaaa
Ni sawa na mwanaume aanze kuelezea how it feels kuwa period kwa mwanamke kitu ambacho hata hajui kinafanaje trust Me hujui kitu kuhusu wanaume so tulia stay on your lane.
 
Kwahiyo nyie mmeumbiwa kutongozatongoza tu sio!?
Kutongoza ni moja ya majukumu yetu huwezi hate mtu anatimiza wajibu wake na upo na haki ya kusema Yes au NO the choice is yours.....you don't get how it feels to be a Man so nakukumbusha tulia tu baki huko huko kwenye lane yako.
 
Baba Cathe hakumshukuru Mama Samia kwa kukutana na wewe kichochoroni?

Mama anaupiga mwingi.

Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Una hasira unanifokea
Soma between the lines utaelewa point yangu iliposimama
Hiyo ni tafsiri yako wala sina haja ya kusoma tena maana uzi wako unaeleweka, zingatia msitari niliokwambia huelewi chochote how it feels to be a man....simba kula mtu sio habari ila mtu kula simba ni habari kubwa! Hakuna mtu atashangaa mwanaume kuwa na wake hata 10 ila ikitokea mwanamke kaolewa na wanaume hata watatu under one roof kitakua kioja....nature win always.
 
Dear Ephen,

Kwanza nikupongeze kwa uandishi mzuri na mtiririko mzuri wa huu uzi ulioanzisha.

Kwenye uzi wako nimegundua mambo kadhaa ambayo nataka niyaeleze katika mtazamo wa mwanaume. Linapokuja suala la maisha ya ndoa au mahusiano kama ya Baba Cathe na Mama Cathe kuna mambo kadhaa.

1. Je baba Cathe anampenda Mama Cathe?
Kwa mtazamo wa nje, kama kuna amani kwenye familia basi watazamaji watahisi na kujiridhisha kuwa hawa wanandoa wanapendana, SI KWELI.
Nikupe mtazamo wa kiume (Men Perspective); wanaume wote ambao tumepevuka kiakili( Matured Men) tumeshagundua kuwa upendo sio kitu cha maana sana kwenye mahusiano. Wanaume hawahitaji kupendwa, ukiona mwanaume anatafutwa kupenda basi ujue huyo bado hajapevuka. Wanaume wanahitaji heshima na kutambuliwa kwa nafasi yao kama mume, baba, provider na kiongozi. Sasa inaonekana rafiki yake Mama Cathe eneo hili anafanaya vizuri, anamheshimu na kumuona baba Cathe kama kiongozi na provider, in return baba Cathe anarudisha thamani na kum-adore mama Cathe. (Sijasema kuwa anampenda).
Hapa mshindi ni mama Cathe, amefanya baba Cathe kuwa na utulivu na kuona thamani yake

2. Je Baba Cathe ni Mwanaume Mwaminifu kwa mama Cathe?
Hapa napo nikueleze jambo kidogo, uamnifu wa mtu ni suala la muda uliopita (past event), matukio yaliyopita ndio huwa yanasimama kama ushuhuda kwa uaminifu wa mtu. Kabla ya Baba Cathe kukufuata uchochoroni na kuomba namba ulijiridhisha kuwa Baba Cathe ni mwaminifu lakini baada ya tukio ni kama vile umepata mashaka.
Sasa, tumlaumu baba Cathe kwa kutaka namba kutoka kwako? HAPANA.
Baba Cathe naye kama mwanaume, hajakurupuka kutaka kuanzisha mahusiano na wewe. Kama ambavyo wewe umechukua muda wako kuangalia maisha ya Baba Cathe na Mama Cathe, ni hivyo hivyo pia baba Cathe ametumia kukuangalia na kujiridhisha kuwa unamfaaa kwa hicho anachotaka.
Inawezekana ameona kuwa unajiheshimu na hapo mtaani haoni kama unabadili wanaume kama wadada wengine, inawezekana hata mama Cathe amekuwa akikuelezea kuwa ni binti msafi na mwenye heshima na unayejitunza.
Hizi sifa ndio zimemvutia baba Cathe.

3. Nini ufanye kwa sasa
Jambo la kwanza ni wewe kujiridhisha kuwa kama Baba Cathe anataka mazungumzo zaidi ambayo bila shaka ni kutaka mahusiano, je upo tayari? Inawezekana haupo tayari.
Baba Cathe ni mtu, mpe nafasi aeleze anachotaka lakini pia mkatalie kwa upole huku ukieleza sababu zako.
Hii itasaidia Baba Cathe kuona kuwa anahitaji kutunza ndoa na itakubakisha kubaki kuwa rafiki wa mama Cathe.

4. Je baba Cathe ni kama wanaume wengine?
Kwanza nikueleze licha ya kuwa wengi wamezoea kusema kuwa wanaume wote ni sawa, leo nikueleze kuwa wanaume hawafanani, tuna tofauti nyingi tu katika maeneo mbalimbali ya maisha.
Baba Cathe anaingia kwenye kundi la wanaume ambao ni ''very matured'' hawa ni wanaume ambao wanajali familia na kuhakikisha kuwa familia ipo salama kabisa, hata kama anamchepuko basi atafanya kwa namna ambayo haitaathiri maisha yake ya ndoa.

Mwisho;
Katika yote haya baki katika kile unachoamini kuwa ni kitu sahihi.
 
Kama marks nakupa 95 of 100
Umechambua kila kitu vizuri na nimekuelewa
Asante...!
 
kumwamini mwanaume kwamba hawezi kutongoza nje ni ujinga unaotokana na kukumbatia mafundisho ya wazungu, waliyoyaleta kwa maslahi yao, maana kwa asili kila kiumbe cha kiume kinazo sababu za asili kuwa na jike zaidi ya moja.
Ibrahimu baba wa imani ya kikristo alikuwa na wake wengi
japo uzinzi haukubariki,

soma hapa:
1: Ibrahimu wake 3 (1nyakati 1:32, na mwanzo 25:1 pamoja na 25:6)
2: Yakobo wake 4 (Mzo 31:17)q
3: Daudi wake wa 7 na masuria kadhaa [1nyakai 3 inaeleza wake 7 ]Basi hawa ndio wana wa Daudi, aliozaliwa huko Hebroni; Amnoni, mzaliwa wa kwanza, mwana wa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili, Danieli, wa Abigaili, Mkarmeli; wa tatu, Absalomu, mwana wa Maaka, binti 9Talmai, mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia, wa Abitali; wa sita, Ithreamu, kwa Egla, mkewe. Sita alizaliwa huko Hebroni; na huko akatawala miaka saba na miezi sita; na huko Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu. Na wana wa Elioenai; Hodavia, na Eliashibu, na Pelaya, na Akubu, na Yohana, na Delaya, na Anani, watu saba.
1 Mambo ya Nyakati 3:1‭-‬4‭, ‬24 SRUVDC

1 Mambo ya Nyakati 3:1 Basi hawa ndio wana wa Daudi, aliozaliwa huko Hebroni; Amnoni, mzaliwa wa kwanza, mwana wa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili, Danieli, wa Abigaili, Mkarmeli | Swahili Revised Union Version (SRUVDC) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi. -24.SRUVDC
(1samweli 27:3,)
4: Sulemani.wake700 na.masuria 300
(1Wafalme 11:3)
5: Rehoboamu wake 18 masuria 60
(2nyakati11:21)
6: Abia wake 14 (2nyakati 13:21)
7:Lameki wake wa2 (mwanzo.4:23)
8: Elikana wake wa2 (1samweli 1:2)
9: Shaharahim wake 2 (1nyakati 8:8)
10: Rehoboamalioa wengi (2nyakati11:21)
11: Beerhjaza wakewengi (Dan 5:2)
12: Yoashi wa 2 (2nyakati 24:3)
13: Elikana wa2 (1sam 1:2)
14: Gidioni wengi (Waamuzi 8:30)
Isaka alitoa Rebeka tu wapo wengi tu ngj nisome vizur bible nikuoneshe kwamba kupanga ni kuchagua
 
Mnaowapa hamji kuwaanika humu,ila msio vutiwa nao ndio mnaleta misimano yenu uchwara..
 
Back
Top Bottom