Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Oyaaa eeeeeh ....๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaa eeeeeh ....๐๐๐๐
Mbona unanifokea ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบHuu sasa ni utoto
Unapopeleka ombi kuna kukubaliwa na kukataliwa weka akilini hili
Unazusha uongo kwa sababu ipi?
Kua mwanaume!
Hiyo ni nature,kwa viumbe dume vyote kama paka,mbuzi,ng'ombe,kuku,bundi, nk bila kusahau binadamu.....fatilia mababu zako ,na hata akina SuleimanHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Mi ki ukweli hii kuacha ni ngumu even me kwa upande wangu nakua nahisi kudhalilishwa unanikataaje...!!!?Naijua hiyo! Ndio maana nimesikia uchungu
Mtu anakutaka unamkataa anatangaza mambo machafu juu yako ambayo hujawahi kufanya wala kufikiria
Tafuta wakwako ambae hatakucheat,ukikuwa utajua,wanaume wote wana Tamaa elewa hiloMnajiendekeza!
Ndio maana nikakwambia una utotoMi ki ukweli hii kuacha ni ngumu even me kwa upande wangu nakua nahisi kudhalilishwa unanikataaje...!!!?
How...!!?
Yaani unajikuta tuu et..
Mi napozaje machungu yangu ...
Na mi natoa story za hovyo huko about you iwe kweli au si kweli sijari...
Unajua ni kiasi gani nime stlaggle mpaka napata ukaribu wa kuongea na wewe alafu unaleta za kukataa l....
Hainaga vipimo chuki chuki ๐๐๐Tafuta wakwako ambae hatakucheat,ukikuwa utajua,wanaume wote wana Tamaa elewa hilo
Jambo gani lingine wakati ushanichanganya mentallyNdio maana nikakwambia una utoto
Mtu mzima hawezi kufanya jambo hilo
Ukikataliwa tulia fanya mambo mengine
DaaahNakubali kua wote wana tamaa lakini kutongoza hovyo hadi majirani zako ni kujiendekeza na kukosa akili timamu
Nimefanya tafiti kujihusu na kuwahusu viumbe me karibia vyote ,Hainaga vipimo chuki chuki ๐๐๐
Hapana hiyo ni 3rd newtonUkitangaza mbovu ndio unazidi kuharibu
Sio binadamu tuu yaani mpaka kuku mkuu kama ulivyosema ๐๐๐๐Nimefanya tafiti kujihusu na kuwahusu viumbe me karibia vyote ,
Ndege wanashida zao binafsiKama ndege wanatembea wawili
Wa kike na kiume nyie binadamu mnashindwa nini?