Nimeamini wanaume hawaaminiki

Mi nikinyapia nikanyimwa natangaza tena nazusha habari za uwongo
Huu sasa ni utoto
Unapopeleka ombi kuna kukubaliwa na kukataliwa weka akilini hili

Unazusha uongo kwa sababu ipi?
Kua mwanaume!
 
Hiyo ni nature,kwa viumbe dume vyote kama paka,mbuzi,ng'ombe,kuku,bundi, nk bila kusahau binadamu.....fatilia mababu zako ,na hata akina Suleiman
 
Naijua hiyo! Ndio maana nimesikia uchungu
Mtu anakutaka unamkataa anatangaza mambo machafu juu yako ambayo hujawahi kufanya wala kufikiria
Mi ki ukweli hii kuacha ni ngumu even me kwa upande wangu nakua nahisi kudhalilishwa unanikataaje...!!!?

How...!!?
Yaani unajikuta tuu et..
Mi napozaje machungu yangu ...
Na mi natoa story za hovyo huko about you iwe kweli au si kweli sijari...

Unajua ni kiasi gani nime stlaggle mpaka napata ukaribu wa kuongea na wewe alafu unaleta za kukataa l....
 
Ndio maana nikakwambia una utoto
Mtu mzima hawezi kufanya jambo hilo
Ukikataliwa tulia fanya mambo mengine
 
Tafuta wakwako ambae hatakucheat,ukikuwa utajua,wanaume wote wana Tamaa elewa hilo
Nakubali kua wote wana tamaa lakini kutongoza hovyo hadi majirani zako ni kujiendekeza na kukosa akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…