Nimeamini wanaume hawaaminiki

Kwahiyo wanaume wote sisi ndo huyo baba cathe??we dada kuwa na adabu basi
 

siyo wote punguza munkari. mwanaume anayejitambua muda mwingi anapoteza muda kutafuta pesa ili afanikishe malengo yake.

namaanisha mwanaume mwenye familia atapambana kuhudumia familia kwa nguvu zake zote, mwanaume ama kijana mwenye mtoto au watoto atahangaika kuhakikisha mtoto ama watoto wanapata mahitaji yote muhimu, kijana ambaye hana majukumu, anajijenga, anaset goals zake, anajiweka kwenye right track japo sisi mara nying huwezi kutulaumu tukifanya uasherati ila na sisi tuna malengo yetu.

inshort kila mtu akiwa committed kwenye mambo ya maana hakuna time kwenye ishu za kupuuzi, umalaya kwa huyo jamaa cjui dingi ni tabia yake, usihukumu wote.

pole sana🙏
 
Sasa mwanaume kumpenda mke wake na kukutaka wewe vinahusiana nini?

Mwanaume kukupenda haina uhusiano na yeye kulala na mwanamke nje. Anaweza kukupenda wewe kama mke wake ila akataka kufanya mapenzi na mwanamke mwenye tako na mwili mzuri kumshinda mkewe ili afurahishe akili yake. Na bado huyo mwanamke mzuri kuliko mkewe siku akithubutu kutaka kumharibia ndoa yake atamchenjia vibaya sana.
 
Umeyataka na kuyataka mwenyewe. Hakuna lolote! Kujifanya kwenda kushinda kwa majirani kumbe unatupa ndoano umpate baba Cathy. Tuwajuwa wanawake. Usimlaumu kwa kutaka kukupa unachokutafuta kwao kila siku badala ya kujali yako...
 
Umeyataka na kuyataka mwenyewe. Hakuna lolote! Kujifanya kwenda kushinda kwa majirani kumbe unatupa ndoano umpate baba Cathy. Tuwajuwa wanawake. Usimlaumu kwa kutaka kukupa unachokutafuta kwao kila siku badala ya kujali yako...
Punguza makasiriko
 
Kwa tabia yenu hii mbovu ndio maana wanawake na sisi tumeamka yaani ni tit for tat
Nyie tukiwasaliti mnapata ugonjwa wa moyo
 
Wewe ndo mwanaume uliyeandika kitu cha maana, mkeo atapata raha sana.
 
Wanaume wote ni mbwaaaaaa

Au mnasemaga pia

Wanaume wote malaya
 
Wewe ndo walewale!
Nyie ndo mnaowatongoza hadi ndugu wa mke, wafanyakazi wanaokuja kuwatembelea
Necha hiyo huwezi kupingana nayo...

Mabinti wazuri Raha Yao ni kutongozwa
 
Wakuu mimi pia nimemtongoza bosi wangu na nimefukuzwa kazi

Naijvunia sana jambo hili hakika ni "necha" yetu
 
Necha hiyo huwezi kupingana nayo...

Mabinti wazuri Raha Yao ni kutongozwa
Sijakataa kutongozwa ila tatizo mume wa mtu kwanini utongoze wakati mke unaye hakafu unamtongoza mtu wa karibu na kwako huogopiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…