Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Asa hio ndo ya kuandika hapa mbona kawaida sana hio jamani mi nilijua bonge la kisa yani😂
 
Safi, swali fikirishi je best wako akikuuliza mbona huendi kumtembelea utamwambiaje
Yaani sijui niwekaje hii
Kiufupi sijawahi kuingia ndani kwao siku zote nilikua nakaa barazani kwao na mke wake mume akiwa kazini lakini hata nikikaa barazani kwetu na mke wake akikaa barazani kwao bado tunaonana na tunapiga story fresh kwetu ni nyumba zinazofatana
 
Tuna cheat Sana tuu SEMA viwango vya ku cheat vinapishana wengine wanatumia Sana akili ku cheat wengine Wana cheat mpk too much..

All in all msondo ngoma waliimba Chini ya TX MOSHI WILLIAM wanaume tumeumbwa mateso..mateso kuangaika

Swali la kizushi
Ephen ivi hata Lucas humuamini EEEE😊😊😊
😂Muache lucas wa watu!
 
Umeshasema mchumba, ukiingia huko utampa pressure na it's a fact atakula kidogo nje, awe na nidhamu, ale na kunawa mikono na mdomo ili usijue🤣
😂Dah! Kwahiyo mwanaume anayetulia hamna hata mmoja? Subiri niendelee kutafuta atakayetulia
 
Unanitisha😥
Unatishika nini, mahusiano ya sasa ni magumu, sio ndoa tu..hata huko mliko hakuna utulivu, vijana wanasalitiana kila siku na tunaona, unadhani ndoa ndio inatuliza watu? Kama mahusiano tu watu wanashindwa kuwa wakweli, unadhani ndoa ni kitu gani hasa kiwatulize watu.
 
Unatishika nini, mahusiano ya sasa ni magumu, sio ndoa tu..hata huko mliko hakuna utulivu, vijana wanasalitiana kila siku na tunaona, unadhani ndoa ndio inatuliza watu? Kama mahusiano tu watu wanashindwa kuwa wakweli, unadhani ndoa ni kitu gani hasa kiwatulize watu.
Unanifokea😔
 
@ephen kwa Mara ya kwanza umeniudhi. Kwani ukimpa baba cathe utapungukiwa na Nini?
Hebu mpe mbaba wa watu.
We mkomoe mwambie una shida ya laki mbili. Pokea laki halafu mpe mwenzio.
Kwani Ni wangapi wanakutongoza na sio watu wenye heshma zao?
 
Back
Top Bottom