Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Basi msitukate mapanga kama Jose kaeni muenjoy show
Wadhaifu kama kina Jose wanamalizana na nyie hapo hapo. Wenye koromeo na uwezo mkubwa kuyahimili wanawapiga za uso kimyakimya ila kwa uhakika. Huwezi kishindana na mwanaume wako ukafanikiwa, labda ukutane na zoba la mapenzi.
 
Endekezeni michepuko mfirisike halafu mrudi kwa wake zenu mkiwa mnechakaa
 
Imani yangu ilikua kwa baadhi ya wanaume waliooa ambao nimekua nikiwaona ni wastaarabu na waaminifu kwa wake zao akiwepo baba Cathe kwa kilichotokea kumbe na yeye ni walewale
Wanaume wote hawaaminikiiiiiiiii
Siyo kweli labda ukiwa nao unajiachia mapaja Ina maana ulikuwa unamvunjia barafu
 
Kwahiyo tukubaliane kua binadamu bila kujali jinsia wote hawaridhiki na mtu mmoja,Kasoro wanaume wao wanajiendekeza!
Mwanamke hana maumbile ya kuhudumia wanaume wawili kwa pamoja, nyie mnatakiwa mridhike na mwanaume mmoja, aliyepasua njia awe mume wako hadi mwisho.
 
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%

Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.

Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.

Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.

Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.

Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'

Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu

Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?

Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!

Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Wanaume tuko poa sana... umekutana na species ya hovyo
 
Mwanamke hana maumbile ya kuhudumia wanaume wawili kwa pamoja, nyie mnatakiwa mridhike na mwanaume mmoja, aliyepasua njia awe mume wako hadi mwisho.
Na nyie hamna maumbile ya kuhudumia wanawake wawili ndio maana mmepewa fimbo 1
 
Endekezeni michepuko mfirisike halafu mrudi kwa wake zenu mkiwa mnechakaa
Kula nje ni kwa nidhamu mama, nidhamu ya hali ya juu sana. Mwanamke mmoja atakupa pressure na utakufa mapema.
 
Sio kweli! Mbona mimi mchumba angu hajawahi kuniambia nampa pressure
 
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%

Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.

Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.

Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.

Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.

Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'

Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu

Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?

Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!

Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Tuna cheat Sana tuu SEMA viwango vya ku cheat vinapishana wengine wanatumia Sana akili ku cheat wengine Wana cheat mpk too much..

All in all msondo ngoma waliimba Chini ya TX MOSHI WILLIAM wanaume tumeumbwa mateso..mateso kuangaika

Swali la kizushi
Ephen ivi hata Lucas humuamini EEEE😊😊😊
 
Sio kweli! Mbona mimi mchumba angu hajawahi kuniambia nampa pressure
Umeshasema mchumba, ukiingia huko utampa pressure na it's a fact atakula kidogo nje, awe na nidhamu, ale na kunawa mikono na mdomo ili usijue🤣
 
Back
Top Bottom