Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hajashindwa ni suala la muda tuSijaona kosa la Baba Cathe hadi sasa. Kajaribu kutenda dhambi kashindwa, kosa lipo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajashindwa ni suala la muda tuSijaona kosa la Baba Cathe hadi sasa. Kajaribu kutenda dhambi kashindwa, kosa lipo wapi?
Unazingua! Huu ushauri pia ungempa mdogo au binti yako?
Wengine tunasusiwaga uzi, nilitoaga nyuzi mbili tu tangu nijiunge JF.Ni kawaida mkuu! Hata wewe ukifungua uzi utapata wachangiaji wengi
Siyo wote.Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Wengine hatujaoa, sasa tunachepukajeWewe unachepuka?
Sichepuki na sitakaa nichepuke ndiyo maana nimesema kwa ujasiri na kujiamini kuwa siyo woteWewe unachepuka?
Sijaoa.Hongera mkuu! Mkeo kapata mume
Bado natafutaBasi mchumba ako kama mchumba
Nini tena hiyo?Naijua hiyo..!
AahhaaaaHii ni kawaida na ndio asili, sio kwamba baba cate hampendi mkewe no,kuna mda kichwa cha chini kinafanya maamuzi yake binafsi bila kushirikisha cha juu.
Ndiyo niko kwenye harakati lakini sijafanikiwaFanya uoe joined 2009
Yule mhuni natafuta mwenyewe najua katika miaka miwili ijayo nitakuwa nimeshakamilisha, nikishindwa hapo basi naachana kabisa na suala la kuoa.Lucas atakusaidia kutafuta kwao Mbozi