Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa matajiri bado sijafika, ila najitahidi mdogo mdogo.Hongera Tajiri..!
Kwa uwezo wa Mungu tutafika tu.Nimekutabiria
Kama hawaaminiki usiamin sasa unaamn nn 😂😂Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Hiyo haina shida ila aache uchawa wa kindezi ndeziNataka uwe tajiri ili usponsor harusi yangu na mwashambwa
Umejua nnNimeacha kuwaamini baada ya kujua
Sasa hivi katulia kuandika ule utopolo wake yuko bize na kibarua cha muda alichopata katika uandikishaji na uboreshaji wa daftari la wapiga kura, ngoja akirudi hapa na magazeti yake maana amepata posho ya MB atasumbua sana.Uchawa ndio unatupa hela ya kula, kua mpole
Ha ha ha he is very stingyKumbe! Hongera yake Lucas
Kazi ikiisha itabidi anitumie percent na mimi
Na mimi nimeliona hili! Tokea anihaidi atanitumia gunia la maparachichi mpaka sasa ni miaka 2 Lucas MwashambwaHa ha ha he is very stingy
Anafakamia mwenyewe tu hadi yamemuotesha kiriba tumbo na ule ufupi sasa na matege yale.Na mimi nimeliona hili! Tokea anihaidi atanitumia gunia la maparachichi mpaka sasa ni miaka 2 Lucas Mwashambwa
Ukipenda chongo utaita kengeza, tehe tehe teheeeee !!!!Lucas sio mfupi bhana! Ni handsome sema wewe unamchukulia poa