Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
Mzee sii ulishamgegeda inatoshaHeshima yenu wana jf, kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka,nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu,. Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake,unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana,siamini Kama Ni yule mwanamke ambae mda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara, Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call,kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi,nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana,na kuachwa hakuna mda maalumu
Hao ni kama hali ya hewaHeshima yenu wana jf, kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka,nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu,. Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake,unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana,siamini Kama Ni yule mwanamke ambae mda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara, Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call,kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi,nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana,na kuachwa hakuna mda maalumu
Asante ila kuachwa kunauma Sana,Tena bila kosa loloteumepiga kimya kwake kilio umekiangusha kwetu, pole yako kwa kuachwa.
Thankswengi watakupa ushauri wa kikuda,ila wanajua uhalisia wa mapenz yanavouma dadeqiii,,,pole bwan.
Acheze kuendana na bitiwengi watakupa ushauri wa kikuda,ila wanajua uhalisia wa mapenz yanavouma dadeqiii,,,pole bwan.
Kwasasa tumpe pole kwanza walau apoe kiduchu,, sababu hizi mambo hizi🙌🏾Acheze kuendana na biti
Mambo za kawaida sana ukishapitiaKwasasa tumpe pole kwanza walau apoe kiduchu,, sababu hizi mambo hizi🙌🏾