Nimeamini wanawake hubadilika muda wowote ule

Nimeamini wanawake hubadilika muda wowote ule

Rajabmbisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
316
Reaction score
530
Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
 
Heshima yenu wana jf, kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka,nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu,. Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake,unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana,siamini Kama Ni yule mwanamke ambae mda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara, Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call,kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi,nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana,na kuachwa hakuna mda maalumu
Mzee sii ulishamgegeda inatosha
 
Hao ni kama hali ya hewa
 
Kwa niliyo yaona kwa mchumba wangu wa Darasa la 4 Jackline aliekua ni mtoto wa mwalimu wa maarifa ya jamii kweli wanawake wanabadilika, akiwa mdogo alikua mweusi sahivi nimekutana nae ukubwani nikashindwa kumtambua maana kawa mweupe sana na nywele zake zimebadilika amekua kama blonde
 
Miezi 3 ni muda mrefu Mkuu?
Focus tu maisha!
Huku ukijijaza Maarifa ya kutosha ... Mapenzi na ujinga haviendanii!

Upendo unaotumika kutongozea na kuchumbia sio upendo unatumika kulinda ndoa.

Ntamweleza Mh. Mwenyekiti TUNDU LISU hili jambo
 
Back
Top Bottom