Usikubali JinyongeHeshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
iiiiiih we mkaka nilianza kupanga gia kujua nakuingiaje na kumpindua uyo ulonae kumbe una roho ngumu iviiii,, loooh sitaki narudi kwa Mpaji MunguUsirogwe ukaanza kutaka kujua kwanini kabadilika, kula buyu akijishtukia ailete uifinye ila hapo huna mpenzi.
Hadi ikawe kawaida ushawezwa balaaMambo za kawaida sana ukishapitia
Kapata anayemtia vzr kuliko wewe halafu unasemaje huna kosa? Humtii vzrAsante ila kuachwa kunauma Sana,Tena bila kosa lolote
Kula chuma hicho baki ulipo huku hakufai. Jitahidi kushikilia bomba barabara.iiiiiih we mkaka nilianza kupanga gia kujua nakuingiaje na kumpindua uyo ulonae kumbe una roho ngumu iviiii,, loooh sitaki narudi kwa Mpaji Mungu
Kwa simp ndio ngumuHadi ikawe kawaida ushawezwa balaa
Asante mkuuMmedumu miezi mitatu!
Pole mkuu
Roho mbaya tuKula chuma hicho baki ulipo huku hakufai. Jitahidi kushikilia bomba barabara.
Ipake rangiRoho mbaya tu
kama mapeenzi ndio hayaaaIpake rangi
Sijawahi kuimbiwa vibaya kwa kiasi hichi ๐kama mapeenzi ndio hayaaa
Naona bora nikimbieeee
Naona suuura ya furahaaa
Iweje leo unibadilikieee
In mwasitiz voice
๐๐๐ถ๐พโโ๏ธ๐ถ๐พโโ๏ธSijawahi kuimbiwa vibaya kwa kiasi hichi ๐
๐๐๐๐ถ๐พโโ๏ธ๐ถ๐พโโ๏ธ
utanikumbukaaa kwa mema niliyokutendea๐
Anaitwa vumiliautanikumbukaaa kwa mema niliyokutendea
Japo hutambuiiiiii
Umuhimu waaaaanguuuuu๐ถ๐พโโ๏ธ๐ถ๐พโโ๏ธ๐ถ๐พโโ๏ธ๐ถ๐พโโ๏ธ
Kijana kwani wewe unatakaje, so ulishaichapa na kuichosha papuchi yake tayari? Basi waachie wenzio na wao waichezee, usiwe mchoyo kwa kitu kisicho chako, ni dhambi hiyo.Heshima yenu wana JF,
kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.
Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,
Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
"Umempa vidonge vyake,Hujamkopesha" kama-Mzee Gwajima.bila mbaambaaa
Ameshtuka huna hela