Nimeamini wanawake hubadilika muda wowote ule

Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Usikubali Jinyonge
 
Dj niletee ngoma ya mapacha watatu 🥶kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu aah mbaya zaidi yule unaempenda wewe unakonda yeye ananenepa kwa mawazo🤣
 
Heshima yenu wana JF,

kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu.

Lakini ndani ya wiki naona mabadiliko kwake, unatuma sms asubuhi inajibiwa mchana, siamini Kama ni yule mwanamke ambae muda mwingi alikuwa ananisumbua kwa call za Mara kwa mara,

Sasa hivi inapita siku nzima no sms no call, kinachonipa faraja nimepiga Mara nyingi Sana,naamini pengine amepata aliye Bora kuliko mimi, nimeamua na kupiga kimya nijue mwisho wake ni upi,nahitimisha kwa kusema mapenzi hayana dhamana, na kuachwa hakuna muda maalumu.
Kijana kwani wewe unatakaje, so ulishaichapa na kuichosha papuchi yake tayari? Basi waachie wenzio na wao waichezee, usiwe mchoyo kwa kitu kisicho chako, ni dhambi hiyo.
 
Back
Top Bottom