Nimeamini wanawake hubadilika muda wowote ule

Aya Sasa mwinginee huyooooo 🤣🤣🤣
 
Amekuwa kama Vera Sidika ambaye ujanani hakuwa na tako na alikuwa mweusi tii? Hapo kumtambua ni vigumu sana.


 
Miezi mitatu ya mahusiano ni sawa na siku tatu,
Ni muda mfupi sana,fanya mambo yako chukua pisi ingine kula maisha
 
Demu wangu alianza kubadilika baada ya mwamba kumpa kifutio cha penseli 2001 amani primary school,mungu anamuona
 
Fanya mambo yako mjomba tafuta hela kula mademu wengine tumia condom always
 
Pole kwa kuachwa.

Kitendo cha kuja kuandika hapa ni mfadhaiko. Wanaume hawaingii miguu yote kwa mwanamke. Jifunze sasa
 
Block kabisa huyó mwanamke Hadi akutafute mwenyewe vinginevyo unajitafuta matatizo ukiendelea kumbembeleza. Mwanaume wa ukweli hajipendekezi Kwa KE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…