Nimeamini yanga wanakomolewa kimakusudi ili wasibebe ubingwa

Nimeamini yanga wanakomolewa kimakusudi ili wasibebe ubingwa

Huu ujinga wana utopolo cjui mtauacha lini... kama hujui c uwe unauliza hata kwa vyura wenzio then ndo unakuja kuanzisha uzi humu... video mbona zinaonyesha tukio wazi kabisa!!
Moderators nao wanalea sana nyuzi za kindezi kama hizi,mtu akilala na njaa asubuhi anatunga uzushi na kupost humu
 
Miaka yote simba walochukua ubingwa wamesaidiana na tff. Naona wanajaribu tena!
 
Hata wafanye nini! Kamwe hawatashinda. Msimu huu Yanga ndiye Bingwa.
vyura mmetoka wote kwenye vidimbwi.

Sasa km hukuona alichofanya Job Ni kosa si uache kufuatilia tu mpira. Km vitu vidogo km vile huwezi kuvitafsiri.

Ngoja Tff waonyeshe makucha yao, si mnasema hawajui wanachofanya? Ngoja sheria na kanuni zing'ate sasa. Pumbavu! Hakuna utopolo mwenye akili kamwe.

Simba bingwa 2021/2022.nani wa kzuia?
 
Uto wote kutokea kwa yule msukule nguruwe pori hadi kwa bwana wake muuza magodoro akili zao zinafanana, eti hawajaona kama ni kosa kwa Dickson Job kumkanyaga Ngodya kwa makusudi 😂
Wawa alipomsukuma nchimbi kwa maksudi alipewa adhabu gani?
 
Unategemea nini cha maana kutoka kwa michezaji ya hovyo kama ya Utopolo?

Zaidi ya mpira wa kihunihuni?
 
Back
Top Bottom