The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Jana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinywagi hayo mavituAchen kunywa energy
Harufu ya ugaliUna uhakika majirani wanakuangalia?
Jali mambo yako.....Harufu ya ugali
Kwani hao majirani wana njaa kama uliyo nayo wewe? Huu usemi unakufaa: mind your own businessJana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje
Kuna uzi unazungumzia dalili za uzee mkuu..😂😂Jana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje
Ukiwaangalia watu utashindwa kufanya vingi maishaniJana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje
Kichaa kimekuanza sa 4am ndio saa ngapi?Jana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje
Matokeo ya la saba bado kaa kwa kutuliaKichaa kimekuanza sa 4am ndio saa ngapi?
Ukiamua kutumia kiswahili tumia kiswahili wewe achana ns kiswangilishMatokeo ya la saba bado kaa kwa kutulia
Nenda kwa rasi simbaUkiamua kutumia kiswahili tumia kiswahili wewe achana ns kiswangilish
Nyumba ni yako, ugali ni wako na njaa ni yako...majirani kwa nn wahangaike na wewe? Wewe choma kabisa na nguru hapo ulumangieJana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje
Chipsi sio chakula, hiyo ni anasa tu. Usiwaze kuhusu majirani na wao wana yao na hawana habari kama unawaza kuhusu wao. Mimi nilikua nakaanga samaki sa 9 usikuJana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje
Shombo la dagaa watakua wanalipata huko usingizini hao majirani!!Una uhakika majirani wanakuangalia?
ukaona vyema kushare huku, usisahau tena kushare ukifany kingn kwa ushaur zaid 🏃♂️Jana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje