Nimeamka saa 10 alfajiri na kusonga Ugali

Nimeamka saa 10 alfajiri na kusonga Ugali

Hivi masaa machache mnashindwa kumudu njaaa?
Huo ni uraibu wa chakula mkuu. Kama hauna vidonda vya tumbo chukua umiliki wa mwili wako, tenga siku moja kwa wiki kwa saaa 24 usile chochote.

Mimi nimewah kuw na program ya siku 10, 24/7 bila kula kitu just maji ambayo ni distilled water ,niliyochanganya na Mwani / Seamoss. Faida zake ni nyingi, na niliwahi ku suggest hii kitu kwa watu kadhaa walionekan kupona magonjwa mengi sanaa Automatically ikiwemo kansa za awali....
 
Back
Top Bottom