Acha kabisa ajira ni utumwaOfisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio
Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi
kuna ka diwan kamoja hapa shida sana, mi ni field offocer ,kajamaa kananionea wivu sana,Ofisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio
Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi
Umenena sawa, siku zote mshahara huwa hautoshi!Hata akiongeza haitasaidia, siku zote mshahara hautoshi
We unafanya kazi ya ualimu ndio mwisho muda huo wa tisa na nusu. Wenzio wanafanya kazi hadi usiku na week end wanaenda job kama kawa. Sio kila sekta katika serikali kuna muda wa kuchezacheza mkuuOfisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio
Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi
umesema vyema mkuu,ila leo nina 30samething nikiingeza 15yrs nitakuwa 50yrs halafu ndo nijitathimin, mbona nitakuwa nishachelewa?labda only 5yrs hapa umri utaruhusu kufanya mamboNakushauri ndugu,endelea kufanya biashara zako as the same time fanya kazi...itakusaidia sana baadaye,kwanza baadaye wafanyakazi mtakuja pata neema chini ya huu utawala(mark my words) then biashara itakusaidia kwa mapato ya nje bila kutegemea viposho na semina ambazo zinaongeza magomvi maofisini.
Jitahidi ukae hata miaka 15,then ndo ujitafakari upya. Ahsante
Mfano ?We unafanya kazi ya ualimu ndio mwisho muda huo wa tisa na nusu. Wenzio wanafanya kazi hadi usiku na week end wanaenda job kama kawa. Sio kila sekta katika serikali kuna muda wa kuchezacheza mkuu
Hata ukiendesha baiskeli kuna muda unabadili speed.Usiache kazi piga hivohivo kibishi.. serikalini mbona mteremko tuu chengachenga zinaruhusiwa.
Mkuu ulifanikiwa kuacha kazi?Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa.
Hapo kwenye avatar ni wewe kweli?Ikiwa ni kweli basi kweli hali ni ngumu na mimi ninakuunga mkono!Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa.