Nimeamua kuachana na aina zote za kamari

Wakuu za asubuhi..

Nikiwa na uchovu wa kulala na mawazo makuu hasa ya kupoteza kiasi kikubwa cha fedha zangu na hata muda kupitia hii michezo ya kamari.. Nimeona niweke wazi kuwa hii michezo sio mizuri na inapelekea madeni yasiyo na kichwa wala miguu, ugomvi, kutoaminiwa na hata kushawishi wizi au unyang'anyi..

Nasema haya baada ya kuwa muhanga mkubwa kabisa wa hizi kamari yaana.. betting za soka, madudu ya wachina yale nk.. Jana tu nimepigwa pesa ndefu kiasi kwamba hata job sioni mzuka kukaa yaan kichwa kiko vuluvululu....

NAOMBA MUNGU ANISIMAMIE KATIKA HILI NA ANIPE NGUVU ZAIDI YA HAPA NILIPOFIA JUU YA KUACHANA KABISA NA KAMARI..
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu kamari si mchezo mzuri tuachane nao kabisa...

NIMEAMUA KUACHANA NA KILA AINA YA KAMARI
aaa wapi kaka we acha tu,

mwezi uliopita tu ninevuta altezer kwa ajili betting,,

poleeee,

TUACHIE SIE
 
Wakuu za asubuhi..

Nikiwa na uchovu wa kulala na mawazo makuu hasa ya kupoteza kiasi kikubwa cha fedha zangu na hata muda kupitia hii michezo ya kamari.. Nimeona niweke wazi kuwa hii michezo sio mizuri na inapelekea madeni yasiyo na kichwa wala miguu, ugomvi, kutoaminiwa na hata kushawishi wizi au unyang'anyi..

Nasema haya baada ya kuwa muhanga mkubwa kabisa wa hizi kamari yaana.. betting za soka, madudu ya wachina yale nk.. Jana tu nimepigwa pesa ndefu kiasi kwamba hata job sioni mzuka kukaa yaan kichwa kiko vuluvululu....

NAOMBA MUNGU ANISIMAMIE KATIKA HILI NA ANIPE NGUVU ZAIDI YA HAPA NILIPOFIA JUU YA KUACHANA KABISA NA KAMARI..
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu kamari si mchezo mzuri tuachane nao kabisa...

NIMEAMUA KUACHANA NA KILA AINA YA KAMARI
Umalaya nayo ni kamali je umeacha na umalaya?
 
Dawa...kubet ni kaz kama kaz nyingine..tafuta odds 2 kila cku weka mzigo...utaona faida.....YALE MA SLOT MASHINE YA wachina dawa yake ni kifaa kinaitwa EMP slot jammer...acha uoga kazi iendeleeee
 
Back
Top Bottom