1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
aaa wapi kaka we acha tu,Wakuu za asubuhi..
Nikiwa na uchovu wa kulala na mawazo makuu hasa ya kupoteza kiasi kikubwa cha fedha zangu na hata muda kupitia hii michezo ya kamari.. Nimeona niweke wazi kuwa hii michezo sio mizuri na inapelekea madeni yasiyo na kichwa wala miguu, ugomvi, kutoaminiwa na hata kushawishi wizi au unyang'anyi..
Nasema haya baada ya kuwa muhanga mkubwa kabisa wa hizi kamari yaana.. betting za soka, madudu ya wachina yale nk.. Jana tu nimepigwa pesa ndefu kiasi kwamba hata job sioni mzuka kukaa yaan kichwa kiko vuluvululu....
NAOMBA MUNGU ANISIMAMIE KATIKA HILI NA ANIPE NGUVU ZAIDI YA HAPA NILIPOFIA JUU YA KUACHANA KABISA NA KAMARI..
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu kamari si mchezo mzuri tuachane nao kabisa...
NIMEAMUA KUACHANA NA KILA AINA YA KAMARI
mwezi uliopita tu ninevuta altezer kwa ajili betting,,
poleeee,
TUACHIE SIE